Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 200
- 433
Wakuu habari,nipo huku Kanda ya magharibi maeneo ya URAMBO-TABORA tangu ijumaa.Watu wa eneo hili siyo wapenzi sana wa story za siasa wala soka japo kwa mbali tunazigusia Kwa kiasi.Masimulizi yao zaidi ni kuniulizia kama maeneo ninayotoka tulishawahi kukutana na nyoka aina ya koboko "Black Mamba".Niliwapa tu uhalisia tu kwamba hatujawahi.Nimelezwa mengi ila walichonifariji ni kwamba japo urambo hawa nyoka wapo wengi sana ila hawaonekani kirahisi.Wanandugu kesho narudi Musoma.