Nipo Urambo mkoani Tabora, Stori zao zinaniogopesha

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
200
434
Wakuu habari,nipo huku Kanda ya magharibi maeneo ya URAMBO-TABORA tangu ijumaa. Watu wa eneo hili siyo wapenzi sana wa story za siasa wala soka japo kwa mbali tunajaribu kuzigusia Kwa kiasi kidogo sana.

Masimulizi yao zaidi ni kuniulizia kama maeneo ninayotoka tulishawahi kukutana na nyoka aina ya koboko "Black Mamba". Niliwaeleza uhalisia tu kwamba hatujawahi.

Nimelezwa mengi ila walichonifariji ni kwamba japo Urambo hawa nyoka wapo wengi sana ila hawaonekani kirahisi.

Wanandugu kesho narudi Musoma.
 
Attachments

  • FB_IMG_1695569512052.jpg
    FB_IMG_1695569512052.jpg
    37.9 KB · Views: 1
Wala usiogope huwezi kuwaona mjini mpaka maili kadhaa
Ukitaka nenda Tanga huko kuna watu wanacheza nao kabisa
Angalia vijana hawa mmoja kashika black na mwingine green Mamba wanacheza nao View attachment 2760991
We naye hao nyoka si unaona ametolewa zile fungs zenye sumu ? ,So hawezi kuwadhuru .
Au hujui kusoma kiingereza ?
Unamjua black mamba unamsikia
 
Wakuu habari,nipo huku Kanda ya magharibi maeneo ya URAMBO-TABORA tangu ijumaa.Watu wa eneo hili siyo wapenzi sana wa story za siasa wala soka japo kwa mbali tunajaribu kuzigusia Kwa kiasi kidogo sana.Masimulizi yao zaidi ni kuniulizia kama maeneo ninayotoka tulishawahi kukutana na nyoka aina ya koboko "Black Mamba".Niliwaeleza uhalisia tu kwamba hatujawahi.Nimelezwa mengi ila walichonifariji ni kwamba japo urambo hawa nyoka wapo wengi sana ila hawaonekani kirahisi.Wanandugu kesho narudi Musoma.
ungeenda na Yesu moyoni. Yesu anasema, utamkanyaga nyoka na nnge,

Luka 10:19: Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.

Matendo 28: 3 - 6; Paulo alikuwa amekusanya kuni nyingi na alipokuwa akiziweka kwenye moto, aka toka humo nyoka mwenye sumu akikimbia ule moto akajisokotea kwe nye mkono wa Paulo. 4 Wale wenyeji walipomwona yule nyoka ameji sokota kwenye mkono wa Paulo, wakaambiana, “Bila shaka mtu huyu ni muuaji, ijapokuwa ameokoka kufa maji baharini, haki haikumru husu aishi.” 5 Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yo yote. 6 Wakangojea wakitarajia kwamba atavimba au ataanguka ghafla na kufa. Lakini baada ya kungoja kwa muda mrefu na hawakuona dalili yo yote mbaya ikimto kea, wakabadili mawazo yao, wakasema yeye ni mungu.
 
We naye hao nyoka si unaona ametolewa zile fungs zenye sumu ? ,So hawezi kuwadhuru .
Au hujui kusoma kiingereza ?
Unamjua black mamba unamsikia
Black Mamba namjua vizuri sana tena nimemuona kwa mbali kidogo kwenye misitu ya Kaliua
Mdomo wa jeneza namjua sana ni laana ya kuotea mbali huyo
Anawika na usiku tulikuwa tunasikia wanaitana
Napenda sana snakes ila huyu mwamba sitaki hata kumsikia
Usijali naelewa kuwa hao wametolewa fangs
 
We naye hao nyoka si unaona ametolewa zile fungs zenye sumu ? ,So hawezi kuwadhuru .
Au hujui kusoma kiingereza ?
Unamjua black mamba unamsikia
Ila kingereza ni kigumu eti
Zinaitwa Fangs au umekosea na sio fungs ni makosa ya kawaida ila sio kwa kumkosoa mtu hata wewe ndio unaandika hivyo
Just kidding ok
 
ungeenda na Yesu moyoni. Yesu anasema, utamkanyaga nyoka na nnge,

Luka 10:19: Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.

Matendo 28: 3 - 6; Paulo alikuwa amekusanya kuni nyingi na alipokuwa akiziweka kwenye moto, aka toka humo nyoka mwenye sumu akikimbia ule moto akajisokotea kwe nye mkono wa Paulo. 4 Wale wenyeji walipomwona yule nyoka ameji sokota kwenye mkono wa Paulo, wakaambiana, “Bila shaka mtu huyu ni muuaji, ijapokuwa ameokoka kufa maji baharini, haki haikumru husu aishi.” 5 Lakini Paulo akamkung’utia yule nyoka ndani ya moto wala yeye hakupata madhara yo yote. 6 Wakangojea wakitarajia kwamba atavimba au ataanguka ghafla na kufa. Lakini baada ya kungoja kwa muda mrefu na hawakuona dalili yo yote mbaya ikimto kea, wakabadili mawazo yao, wakasema yeye ni mungu.
Huyo kichaa endelea kumuona katika picha au video venomous snake hawana utani.

Sipingani na maandiko kwasababu kuna muda uandikwa kwa lugha zisizo za moja kwa moja pia simpaishi huyo nyoka kihivyo ila ni hatari sana.

Sijawahi simuliwa nimeona ukosaji wema wake japo kuna jamaa wanawakama vizuri tu kwa mambo ya wataalamu wa kienyeji.
 
Black Mamba namjua vizuri sana tena nimemuona kwa mbali kidogo kwenye misitu ya Kaliua
Mdomo wa jeneza namjua sana ni laana ya kuotea mbali huyo
Anawika na usiku tulikuwa tunasikia wanaitana
Napenda sana snakes ila huyu mwamba sitaki hata kumsikia
Usijali naelewa kuwa hao wametokewa fangs
Yeah naambiwa kaliua pia wapo Kwa wingi
 
Wala usiogope huwezi kuwaona mjini mpaka maili kadhaa
Ukitaka nenda Tanga huko kuna watu wanacheza nao kabisa
Angalia vijana hawa mmoja kashika black na mwingine green Mamba wanacheza nao View attachment 2760991
🙄🙄Nilishangaa nilipoambiwa wale nyoka wa kijani Tanga wanawaita "vilamba tembo " eti hawang'ati ..

Kweny mti wa mama wanasukana chini hao nyoka unakuta hata watano wanacheza juu , sometimes wanaanguka chini kabisa ila hawana time nao.
 
Binafsi nilishangaa kukuta nyoka wa kijani kuingizwa kwenye kundi la nyoka wanaoogopwa zaidi-Mtwara.

Ila ni wazi, hawa viumbe sio wa kuwaendea kwa kukariri watakutoa KO.
 
🙄🙄Nilishangaa nilipoambiwa wale nyoka wa kijani Tanga wanawaita "vilamba tembo " eti hawang'ati ..

Kweny mti wa mama wanasukana chini hao nyoka unakuta hata watano wanacheza juu , sometimes wanaanguka chini kabisa ila hawana time nao.
Ni kweli Mkuu wapo aina mbili ya hawa wa kijani mmoja ni smooth green snake 🐍 ambao wanakaa sana kwenye miti tena karibu na makazi ya binadamu, hawa hawana madhara kabisa na hawana sumu unaweza kuwafuga na watu wanao sana huku Ulaya wanafugwa kama pets na hawali sana

Ila huyu green mamba ndio mwenye sumu na kama mfuatiliaji wa nyoka utaona tofauti zao kama unawajua ila usijichanganye kama huwajui ndugu
Na huyu ndio asiekuwa na sumu kabisa
Screenshot_20230924_201406_Google~2.png
 
Ni kweli Mkuu wapo aina mbili ya hawa wa kijani mmoja ni smooth green snake 🐍 ambao wanakaa sana kwenye miti tena karibu na makazi ya binadamu, hawa hawana madhara kabisa na hawana sumu unaweza kuwafuga na watu wanao sana huku Ulaya wanafugwa kama pets na hawali sana

Ila huyu green mamba ndio mwenye sumu na kama mfuatiliaji wa nyoka utaona tofauti zao kama unawajua ila usijichanganye kama huwajui ndugu
Na huyu ndio asiekuwa na sumu kabisa View attachment 2761198
Kweli hao wa kijani mazingira nayotoka wapo.Pengine ndio wasio na sumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom