Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

Uzuri wa wale wanapenda maeneo ya vichaka , mangroose anaweza kuwakamata na kuwapeleka ila inahitaji gharama wangu wa vijijini wanajua kuwatega , ila 🦡 ni ngumu kumkamata.

Kwa nature ya eneo aliloelezea wanayapenda sana hawa wadudu sidhani kama wanaweza kuhama labda wafukuzwe
Kipindi Cha nyuma walikuwepo wakutosha na huenda hatukuwa waona Hawa koboko lakini wanakijij walisha wamakoza kabisa Kwa mbwa na kuwafukia kwenye mashimo Yao hatimae kufa. Wanakula sana karanga wale
 
Nitatafuta nipost humu, nimewahi kuishi porini katikati ya mlima sikuwahi kuona nyoka sehemu ya makazi ya Watu, Lakini kwenye mlima kila siku Tulikuwa tunapishana nao.

Hadi wenyeji waliponiambia Siri ya miti iliyopandwa kuzunguka Eneo letu la kuishi
Mkuu tumabie hakika hiyo miti inaitwaje na kama ikiwezekana tuma hata picha ulifanikiwa hakikisha una ni Quote
 
Nakuomba uingie google uandike "who is a king of snakes in the world" alafu uone utapata jibu gani.

Dunia nzima nyoka anaeuwa na kumeza nyoka wenzake ni mmoja tu ambae ni King Cobra. King Cobra ni nyoka anaeuwa na kumeza nyoka wa aina yoyote katika dunia hii. Kasoro Chatu tu tena awe mkubwa kuliko saizi ya King Cobra, ndo hawezi kumwezwa. Lakini wengine wote akiwemo huyo black mamba wako, ni chakula chake popote atapokutana nae na sumu yake haimfanyi lolote King Cobra.
Nimefatilia mkuu aisee nilkuwa sijui sorry sana Kwa kubishia hili
 
Black mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.

Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
huyo hapo
Screenshot_20240327-121115.jpg
 
Koboko ninamuogopa sana. Niliwahi kutaka kununua shamba, wakati yule mzee ananitembeza tukakutana na Koboko amekufa shambani. Mzee ananiambia huyu tulimuua alikuwa kwenye hiki kichuguu. Kwa theory ya koboko ninavyoifahamu niliahirisha hapo mahala.

Nashauri uwaone wataalam wa nyoka wa vijijini achana na maliasili. Kuna jamaa huwa namuona tiktok amekamata hao koboko wengi sana. Watu wa namna hiyo unaweza kuwatafuta na kuwapa mpunga wamsakue humo shambani at their own risk.
 
Nimefatilia mkuu aisee nilkuwa sijui sorry sana Kwa kubishia hili
Usijal mkuu, najua katika dunia ya leo hakuna anaeweza kujua kila kitu. Hata wewe leo kuna vitu ambavyo wewe unavijua, lakini mimi na ujanja wangu wote sivijui. Halikadhalika na mimi kuna vitu navijua lakini wewe na ujanja wako wote hauvijui.

So ndo dunia ilivyo. Ni Mungu pekee ndio mwenye uwezo wa kujua kila kisichojulikana duniani na mbinguni.

Nilishangaa ulipoandika eti umeona magamba ya King Cobra shambani kwako 😂😂😂

Aisee King Cobra uone magamba yake na ubaki salama 😂😂😂

Tuko pamoja mkuu.
 
Black mamba 'koboko' mnamtukuza sana ila kiuhalisia ni nyoka wa kawaida na ni chakula maalumu cha mfalme wa majoka King Cobra.

Ukimpata King Cobra na kumtupia humo msituni kwako, ni kitendo cha dakika 30 tu utaona Koboko wako anavyotupiwa mdomoni kama vile mtu anavyotupia tambi za futari mdomoni.
Watu wa kanda ya ziwa sijui huwa wana shid gani. Yani black mamba amepewa story za kutungwa za kichawi kiasi kwamba anaogopeka sana.

Ni nyoka hatari ndio lakini sio kwa hizo mbwembwe anazopewa. Simon Keys anacheza nao kila siku.
 
Kweli mkuu. Tatizo wengi wamelishwa story za vijiweni na kuziamini bila kuzifanyia tathmini ya kutosha ili kujiridhisha kwanza.
 
Back
Top Bottom