Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Kumbe ndio michezo yenu eeh, ndio maana huyu mama hapa kazini hata ufanisi wa kazi umeshuka kutwa muda wote yuko na simu yake. Sasa sijui hata anakumbuka majukumu yake akiwa nyumbani?
Kuna jamaa kaeleza vizuri juu hapo kuwa kadri umri unavyosogea kwa mwanamk ankuwa na ham sana kabla ya uzee. Huyo hakupata raha hiyo tng muda mrefu...Anaipata kwa sasa lazima apate mhaho,just imagine U didn't ever cum for almost 20 year..

Boom gentlemen makes u cum every day lazma upate mhaho....Hapo atahonga mpaka...na jamaa hatoshuka viwango kila sku atampa vitu vipya tu....asiache kuhonga lknvijana hatupoi...Galaf size yetu wanatzngua tu mambo mengi..wamama hawabani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tendo la ndoa ni hitaji muhimu sana kwa mwanadamu, kama wahusika hawatashiriki vizuri, inakuwa ni sawa na kuwa na kiu kikali cha maji na ukaonjeshwa tone la maji, hapo lazima utatafuta kila njia upate maji ya kutosha yalipo ili uweze kumaliza kiu yako.
 
Kumbe ndio michezo yenu eeh, ndio maana huyu mama hapa kazini hata ufanisi wa kazi umeshuka kutwa muda wote yuko na simu yake. Sasa sijui hata anakumbuka majukumu yake akiwa nyumbani?
Tatizo akishapata kijana mtundu anayeweza kukamua maji yake na yakatoka yote,lazima akili ya kazi au ufanisi wa kazi upungue,kwa sababu muda mwingi atakuwa anakumbukia hiyo show.
 
Nimewaza namna ya kukujibu nimeshindwa maana kuna vitu vingi sn ktk hili.
1.A desire to have a new thing
2.Capability ya hao vijana wadogo ktk kuchakata
3.Ndani kuna mazoea,ni kimoja then usingizi
4.Mwanamke anavoenda umri ndiyo anazidi kutaka kuchakatwa haswaaa.
5.Ufundi wa vitu vingi wa hao vijana wadogo.
6.Migogoro ndani ya nyumba
6.Makundi ya WhatsApp ya wadada/wamama wanaambizana vitu vingi sana.


Nilikuwa katik dimbwi hilo la kuwa na mdada mkubwa kabisa kwangu,aisee alikolea na amekolea sanaaaa though nilishaanza kumkwepa.Yani kuna kitu huwa anani-test hadi nimeogopa,nikagundua anasimuliwa na wenzake sasa she wants to test,na ni kweli hajawahi. Nilivyomsoma nimeweka GAP kubwa sana namkwepa



Nadhani factors zimeeleweka.
Bro mtag anasbo icho kipande cha mwisho ulichoandika
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.

Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti nilisikia harusi yake
Mimi siowi, wake za watu wapo, afu watamu kweli yani. Hawana usumbufu, sio wachoyo, hata kitandani wanakupa ukitakacho.

Tuache masighara, wake za watu hasa wamama ni watamu asikuambie mtu.
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
kwa mujibu wa rafiki yangu, alitongozwa na mke wa kigogo. Mwanamke alikuwa anamtaka. Afu jamaa mwenyewe ni chalii mdogo tuu, wakati ananieleza na ushahidi alikuwa nao.

Huyo mwanamke mara nyingi mumewe, alibanwa na kazi za serikali hivyo, muda mwingi hakuwa anakaa naye.

Mumewe ni mzee wa kubadilisha V8, na mkewe alikuwa anakazi nzuri tuu. Mwanamke alibadilisha magari kama nguo afu yote mapya. Yaonesha mumewe alimpenda mnoo.

Sasa tukawa tunashangaa, kwamba inakuwaje mwanamke ana mume mwenye pesa za kutosha ila bado anataka wanaume nje ya ndoa tena vijana wadogo?, ndo tukajua kumbe kuna wanawake hata uweje, hata uwafanyie nini hawarizikagi. Tulishangazwa mno.

Ilifkia kipindi mwanamama anamtaka jamaa aende home kwake, maana watoto wake ni wadogo afu wapo boarding school.Jamaa alimgomeaga, wacha awekewe kiburi sasa.

Ila badae walianza kuwasiliana tena mdogomdogo.
 
Nyumbani anae huyo mzee wanaelingana umri halafu achepuke tena na mzee kama yule yule wa nyumbani haimake sense inabidi atafute kijana mwenye nguvu ya kushughulikia mbususu...

NB: usije ukajaribu kutupa vijana hiyo mbususu utamsahau huyo babu huko nyumbani
 
Vijan wenzangu nitafutieni na mimi huyo Mmama nianze kuona viwango

Ila nilikuw napga mmama wa kipare lakn bado alikuw ananiomb ela kwa nguvu na bili hataki kulpa au ku share cost .
NB usimjarbu mmama wa kipare
Hahahaha
 
Back
Top Bottom