Kweli watu wamejitoa kumchangia Lissu

By Mange Kimambi

Tuendelee kumchangia Mh Tundu Lissu, Mpaka sasa zimefika M28 kwa mwezi March, kutoa ni moyo si utajiri.
.
.
Tafadhali tuma pesa kwenda #M_pesa 0754 616 564 au Tigopesa 0716445360 Jina FRANK MUGHWAI.......... Au kupitia benki ya #CRDB nambari ya akaunti 01J2043045300 TUNDU ANTIPAS LISSU.
View attachment 1046472
Huyo sio Mange ni akaunti feki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inakuwaje mtu unakuwa na roho mbayaa na kikatili mpaka wakati wa mfungo wa kwarema ??

Watu wana mijiroho, siyo kama kina sisi ambao hata kuchinja kuku tunaogopa.
Hao watu ni kama wale wadokozi wa mboga kwenye vyungu jikoni. Anajikuta tu kafunua chungu na kudokoa. Au wachawi wa kufundishwa tangu utotoni. Anafanya ulozi for fun! Hawezi kuacha. Ndiyo tabia za hao wanaopinga Lissu kuchangiwa fedha. Wanajinunisha kwa fedha ambazo si zao. Uchawi! 🔫
 
Nimeshamchangia mheshimiwa Lisu japo ni kidogo naamini haba na haba hujaza kibaba, na nitaendelea kumchangia kwa kadri nitakavyoweza nahatimae Lisu hataweza kuteseka kama serikali inavyotaka ateseke hivyo ndivyo tunavyoweza kusema.
6CE124NBWJP Imethibitishwa Tsh12,000.00 imetumwa kwa 255754616564 - FRANK MGHWAI Tarehe 14/3/19 saa 4:04 PM kwa ada ya Tsh310.00.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometime watu wanashangaza sana.

Wanachangia sana kwenye msiba kuliko mgonjwa aliye hospitali gharama za kuhifadhi marehemu huwa kubwa kuliko matibabu yake.
Kwa hili sijui wanavutwa na nini maana wengi huwa hawana huruma kwa mgonjwa
.
Wasituletee uchuro kuwa huyu ni marehemu mtarajiwa. Mi simo.
KUTOA NI MOYO tumchangie ndugu yetu
Kuna la kujifunza hapo. Ujiulize ni kwa nini wanatoa bila shuruti na walikuwa wanalilia wapatiwe njia za kuwasilisha michango yao. And, people are still longing for such means of contribution to be well informed to them. Watu wana uchungu, hasira na mengi mengineyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema Chadema ikaweka wazi jambo hili ili lieleweke , ni kweli kabisa kwamba kuna kampeni imesambazwa dunia nzima ya kumchangia Mh Lissu baada ya mawakala wa shetani kuzuia mshahara wake , watu wameanza kuchanga kwa kishindo sana , tunashukuru sana na kwa kweli tunamuomba Mungu awajazie palipopungua.

Lakini ni vema michango hii isitokane na wanaccm , na kama kuna mwanaccm amechangia mpaka sasa basi ARUDISHIWE PESA ZAKE , tunahitaji mchango lakini hatupokei pesa za majini , hatupokei hela zilizojaa damu , hizo hapana , hatuzitaki , Kupokea hela za mchango wa Mh Lissu kutoka kwa wanaccm ni sawa kukufuru Mungu , ni kumdhalilisha Lissu mwenyewe , hii haina tofauti na KUTAKATISHA PESA , Tusikubali

Naomba kuwasilisha.
Tusisahau hulka ya kitanzania ambayo baba wa taifa letu alitujengea "UMOJA NA MSHIKAMANO". Hata kama ni ccm bado wao pia ni watanzania, pia sio wanaccm wote wanaounga mkono udhalimu wa awamu hii.
Atakayeguswa achangie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom