Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Hao wanaosema ndoa kitu gan wanajifariji kwa kukosa wachumba au ili wasionewe sana huruma bt deep down wanaitamani
 
Ndoa tamu na ni tulizo la moyo na akili yani hata kama ni graduate hujaajiriwa ww kwako familia na mume wako ni jukumu tosha na upo peace kabisa. Shida ndo hujaolewa huna mtoto huna kazi duuuh dunia utaiona chungu na umri nao unaenda utaomba poo. Nawaona best zangu wanavyopagawa maana age zetu ni 30+. Ndoa ni ndoto na tamanio la kila mwanamke jamani lazima shilole achekelee. Nawatakia kila heri wadada wote wenye kupenda kuolewa kwa mwaka huu 2018 mambo yakatiki. Maana wengine hawapendi
 
Humu ndani wengi wanataman kuolewa basi ila Mawazo ya Humu yameshawavuruga
sio kwamba yamewavuruga ..WANA PRETEND TU MKUU
mioyo yao kila kukicha inadondosha machozi Kilio sio cha nchi hii
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
 
Amen
 
Sasa wakiolewa wote ma MILF watatokea wapi??, embu msiwashtue haka kamfumo ka maisha kaendelee..

wakuolewa waolewe na wakuja honga Ben10 waendelee kuwepo
hahaaaa
wanataka kutubania razki hawa nimeshawaona
wenzao tunapnda kuitwa baba na vijana wenzetu tena wengine wametuzid mpka age ..lakini kwakuwa mama zao beki hazikabi..hawana jinsi zaidi yakuukubali ukweli
 
Daahh huyu bana siyo wakuweka ndani . Huyu Sijui Kama Atapata wakuweka Ndani Maani Kitimoto Kilo Tatu na Povu La Castle Litakuhusu Kila Siku
hahaaa sasa baada ya miezi 6 silazima ufilisike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…