Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Hahahahaa kabisaaa hapo nikifo tu mkuuu.

mzigua umemsikia ????? Ila Mimi nakuitaji kwa miaka 75 tu baada ya hapo Kila MTU aishi kwake
Miaka 75? Yani ule naye raha ujanani afu umwache uzeeni?
big2.3.JPG
 
Mioyo ya wahusika ingekuwa inaongea, mngejua jinsi wanavyozihitaji ndoa.

Asikudanganye yeyote, furaha ya mwanamke iko kwa mwanaume na furaha ya mwanaume iko kwa mwanamke siku zote. Hakuna mtu asiyeihitaji ndoa au maisha ya kuishi wawili. Ni pale tu ambapo anakuwa hajapata mtu sahihi Wa kuwa naye.

Amini usiamini tunategemeana sana sana zaidi ya timu za mpira. Huwezi kuishi pekee ukasema uko happy na maisha yako. Not true.
Well said
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom