Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

Mleta mada leo kazusha mengi sana. Acha nicheke tu
images
Hakika Leo nimejikuta nachekaaaaaaa alafu nilikua out of mood kweli ..hahahahahah
 
Umeongea vizuri dada. Huwa sipendi kusikia binti anasema ndoa kitu gani halafu baadae huyo unakuta analalamika amekosa mchumba. Nature huwa haidanganyi, mwanamke anamhitaji mwanaume na mwanaume anamuhitaji mke. Tunategemeana

Unaweza kukuta mwingine anatoa reference ya walio fail kwenye ndoa kama justification ya yeye kutotaka kuolewa. Mimi huwa nawauliza kwanini wanajiweka kwenye kundi la walio fail? Maana kwenye ndoa kuna walio vizuri pia. Kwahiyo hupaswi kujiwazia mabaya na ikiwa yatatokea utajua la kufanya. Lakini kwanini ndoa uiwazie vibaya wakati hujaingia?

Nadhani ni kukosa mawazo kwa kudhani kwamba sababu fulani kashindwa basi na yeye akiingia atashindwa.

Na hapo ndio tunapokosea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom