Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,769
Aiseeeee Mkuu ,,,nmecheka mpaka wamenishangaaaa ....aka kabenchi kapo nchi gan ???
Nmecheka hadi machozi yanatoka.
Ishia hapo hapo ukila ban wajukuu zako tutakosa nasaha za babu.Nami naishia hapa nisijelambwa ban... LOL
Kiruuuuuuuuuuu whaaaaaaaat a service ???.
Ati kwahayo mambo ,baada ya ndoa ,nipo tayar tukae miaka mitatu bila mtoto![]()
![]()
![]()
![]()

Kwahivo vizibo alivyofunga kichwan...sijui itakuaje maana itakua km kengele zamgangaa
We jamaa leo unanichekesha sana wallahMkuuu hiii dunia ,,watu tungekua hatuzeeki ,tunajivua magamba km nyooka ,, ingekua rahaaa sanaaa.
Sasa MTU nyavu zimeshanika alafu ndo unaambiwa samaki wamejaaa duuuu
Umetoa wapi picha yangu Putin?Mzeee baba ,,unaambiwa pesa sababu ya roho.
Sitovunga ,ila ninauhakika nitachepuka![]()
![]()
![]()
Kweli tenaaa ,huyo. Mtoto anabidi asubiri kwanza ,watu tufanye yetu mweeeeee
Usishawishike hata mkuu maandishi tu hayamzigua90,comment zako zinashawishi kweli!
Umeongea vizuri dada. Huwa sipendi kusikia binti anasema ndoa kitu gani halafu baadae huyo unakuta analalamika amekosa mchumba. Nature huwa haidanganyi, mwanamke anamhitaji mwanaume na mwanaume anamuhitaji mke. TunategemeanaSasa mtu akiolewa asifurahi jamaani aonyeshe huzuni wakati maisha yenyewe mafupi haya.
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke hivyo ikitokea furaha muhimu bana.
Chekaaa hata.Mimi Leo nmecheka sana mkuuu ...We jamaa leo unanichekesha sana wallah
![]()
Na atakayenipiga ban... nambadilishia homonIshia hapo hapo ukila ban wajukuu zako tutakosa nasaha za babu.
Na iwe hivo ila kwa wale waliofokia hatua hiyo.tuolewe wote wanawake mwaka huu aamin![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haaaaaa kumbe niwewe ,,mafuta kauli Mzigua90Umetoa wapi picha yangu Putin?
Mleta mada leo kazusha mengi sana. Acha nicheke tuChekaaa hata.Mimi Leo nmecheka sana mkuuu ...
Shout out kwa mtoa Uzi !!.
Aspirin umetisha ...Na atakayenipiga ban... nambadilishia homon
![]()
aiseeeeeMwache shishi Trump ananiburudisha!!Huyu ni Shishi Trump anafuraha kupita maelezo kwa kuolewa na Uchebe.
Twende mbele turudi nyuma hapa mjini utadanga wee ila mwisho wa siku ndoa utaihitaji tu. Na kama ukifika 40's haujaolewa hautakuwa na maisha yenye amani.
Hongera Uchebe naona mzimu wako haujaleta masihara kama mzimu wa Nuhu.