Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,058
- 64,015
- Thread starter
- #101
Ngoja nikuekue kidogo alafu tajua la kufanyaConfortable ya wapi, anajutia kuuchezea ujana wake
Hawa nao wamekosa lodge mpaka wanangonoka vichakani?
Ndio maisha yetu huko vijijiniHawa nao wamekosa lodge mpaka wanangonoka vichakani?
Hahhhaaaa dah...Ndio maisha yetu huko vijijini
Mlikosea wapiNa sisi tulikua kama wewe 😊
Hata hao kina dada nawaona tu kwenye tvAsante, we unakula chakula kilichopikwa na dada wa kazi?
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
Maisha yenye furaha yanaanzia na vitu vidogo sana aisee kama hamjaweza kutatua tatizo kwenye lishe basi huko kwingine mtavuruga nipo pamoja na jamaa wa Sembe..Yani unaisifu ndoa yako kisa Ugali?
Au mimi ndio sijaelewa?
Kulikuwa na chumba cha baba na chumba cha mamaNatumia mbinu za kina chifu mangungo walivyoweza kuishi na wake zao.
Waliompiga picha sio watoto ni wajukuu wakimcheka babu yao akipika ugali..Jiandae kuwa kama huyu
View attachment 3685467
Paja na firigisi watoto wanaambiwa hizi za baba yenu...dah ngoja nikawahi mchemsho kwa shirima nikate wengeNipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.
Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.
Kweli, ndoa ni tamu.
beki 3 wanakuwa kama supersub kunusuru tusipoteze mchezoMliokosea kuoa, endeleeni kula vyakula vilivyopikwa na beki 3
Unamshauri je huyu kiongozi?
View attachment 3685480
Kiufupi ni wale hata hela ya mahari laki5 hawana afu wanakwambia kataa ndoa, sawa wanakataa ndoa ili wawe kina anko T? Mwanaume uliyekamilika utakataaje ndoa kisa flani ndoa yake haiku work!Kataa ndoa wengi ukiwatoa akina Hamonizer wengi maisha yamewaoiga Sana, ni chapombe hata hawana nuru
Unamshauri je huyu kiongozi?
View attachment 3685480