Kweli, ndoa ni tamu!

Kweli, ndoa ni tamu!

Kataa ndoa wanapokezana sahan tu na vikombe vya uji
Zile sahan hazikoshwi,wanazichovya kwenye maji tu halafu anapakuliwa mtu mwingine.
 
Sahivi Nyumba ni kutumia vijiko vya plastic, visu vikimaliza kazi vinafungiwa kwenye safe, lenye makufuli mawili, hafu mnagawana funguo.

Tunataka ukitaka kuua mtu, uite Boda, uende Dukani, ununue kisu, ndio uje kuua.

Usilete excuse za "zilikua hasira"
Hii mbinu inaweza kupunguza majanga
 
Kweli kabisaa halafu wanajifanya sisi tulishapitia yote hayo saivi tumeamua kutulia na wake zetu...
Mtu akikuambia hivyo jaribu kuifuatilia ndoa yake, utagundua kuwa anataka nawe uingie mtegoni.

Kumbuka mtu mara nyingi akiwa kwenye neema hawezi kumuita mwenzake kwenye neema.
 
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.
Hii imekaa poa sana ila kuna waliooa na hawajawahi kupikiwa na wake zao ni dada wa kazi kwa kwenda mbele tu, akilala ule utamu wa chakula anaanza kupiga story na shetani kwamba siku moja atamla mpishi sio kwa kupika vizuri namna hio
 
Back
Top Bottom