Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,620
- 4,827
Huu ndo ukweli wenyewe mapimbi mengi yaliooa ukiyauliza oya nyie vichogo mbona mnatufosi tuingie mtegoni.Hawana point zaidi ya kukutisha.Kwa kawaida watu waliooa na kuteswa na ndoa huwa na maneno mazuri kama haya ili vijana waingie kwenye ndoa wateseke, ngoma iwe droo.
Mimi niliyebobea kwenye masuala ya saikolojia ya binadamu nazifahamu hii mbinu haswa!
Ila infacts hawa pimbilis wameyakanyaga na kusema hayawezi kinachobaki wanachomesha wengine ili maumivu yawe ya wote na wapate faraja.
Vichogo tumewastukia.