Kweli, ndoa ni tamu!

Kweli, ndoa ni tamu!

Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.

Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.

Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.

Kweli, ndoa ni tamu.​
Ndiomaana nasema...
Ndoa na iheshimiwe penye kila inapo stahili.....
Na kwenye ndoa watoto ni baraka mujarab Duniani na kwa Allah .S. Wataallah
 
Kwa kawaida watu waliooa na kuteswa na ndoa huwa na maneno mazuri kama haya ili vijana waingie kwenye ndoa wateseke, ngoma iwe droo.

Mimi niliyebobea kwenye masuala ya saikolojia ya binadamu nazifahamu hii mbinu haswa!
Jiandae kuwa kama huyu
dz.jpg
 
Back
Top Bottom