Kweli, ndoa ni tamu!

Kweli, ndoa ni tamu!

Hata mie nafaidi matunda ya mke. Mabachelors fanyeni mpango nanyi mjiunge chamani.
 

Attachments

  • 17913134390972835914336193381106.jpg
    17913134390972835914336193381106.jpg
    611.7 KB · Views: 1
Mkuu Equation x,
Usiongee sana maana wivu wataona wao, unajua kuna kukosea career choices, kukosea design ya nyumba, kukosea kununua kiwanja ha uswahilini, ila ndugu yangu ukikosea ukaangukia kwa kichwa kibovu, ni majuto tu.
Inabidi huku jukwaani kama itawezekana, watu tupeane mbinu mbadala kwa wale walio kosea kuoa.
 
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.

Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.

Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikni suala la​

Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.

Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.

Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.

Kweli, ndoa ni tamu.​
Na sisi tulikua kama wewe 😊
 
Back
Top Bottom