Kweli, ndoa ni tamu!

Kweli, ndoa ni tamu!

Uzuri ni kwamba hiyo kataa ndoa iko kwenye jamii ya watu wa daslam...waimba taarabu ila mikoa walipo wanaume vijana wanaoa vizuri na wanasimama kwenye uanaume wao no marrer waarrrr!
 
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.

Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.

Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.

Kweli, ndoa ni tamu.​
Mm mke Wang mama Matotanje ashanipikia ugali wa mihogo na samak na maziwa na naona pia amevaa kanga moja ameniambia nikimalza yupo ndan tukalale uenda Kuna chakula kingine nimeandaliwa
 
Nipo hapa nimekunja zangu nne, nakula ugali niliopikiwa na mke wangu.

Mlio kosea kuoa, sasa hivi mnakula vyakula vilivyopikwa na dada wa kazi.

Wanao kataa ndoa, sasa hivi wanashindia mahindi ya kuchoma, vyakula vya magengeni, na kujipikilisha.

Kweli, ndoa ni tamu.​
Baadae msije kupigana shaba tu
 
Back
Top Bottom