kweli mapenzi uchafu, na udhia............

kweli mapenzi uchafu, na udhia............

ni mwanamama ambaye ameolewa na kuachika mara moja na sasa yupo ndani ya ndoa kwa miaka miwili na ushee,kwa mumewe wa kwanza kulikuwa hakuna hayo matatizo sasa ndio anaona mapenzi ni udhia na uchafu.alipoolewa na mumewe wa pili hakukuwa na tatizo lolote mpaka walipofikisha mwaka mmoja na nusu ndio kasoro zimeanza kujitokeza ni kwamba,
mumewe ameanzisha tabia ya kwenda chumvini wakati hawakuwahi kufanya hicho kitu hata siku moja!
mkewe amemuuliza umejulia wapi akamwambia ameangalia kwenye simu ya rafiki yake ambaye amehifadhi filamu za ngono sasa akaona hiyo staili akaipenda ndio akaanza kuifanyia mazoezi kwa mkewe.kikubwa na chakushangaza zaidi ni kero kubwa kwa mkewe akienda chumvini yale mate yanamwangika kwenye shuka hadi linalowa na yanayobakia mdomoni humlazimisha denda na kumtemea yote mdomoni na mkewe huyameza kwa kuogopa kumkasirisha mumewe, amevumilia ameshoka ikabidi avunje ukimya na kumueleza hicho kitendo ni bora tukiache kwa kuwa hatukiwezi mumewe amekataa na akampiga sana na kumwambia kishapa jemba ingine.mumewe anampenda na kumuacha hawezi na hicho kitendo cha kunyweshwa mate pia hawezi.afanyaje ili kuinusuru ndoa yake na kuepukana na mvua ya mate?

mumewe ni dactari wa meno na ni muhdzabe.

ushauri wangu ni kwamba aachane nae kasema ataolewa mara ngapi na umri umeshapita?kweli mapenzi kizaizai yanaumiza moyo

ushauri wenu unahitajika wadau

cc:wanajamvi wote wa mmu

Haya ni maswala yao binafsi. Wakati wantongozana walikuja kuomba ushauri hapa? Kwa kifupi, hayatuhusu. Kila mtu anabeba msalaba wake. Habari ndio hiyo.
 
kama vile atakuwa anaruka majivu na kukanyanga moto swaiba! maana yangu ni kwamba akiwa mchafu sana.........................
jamaa ataenda kwa waliowasafi
mkewe atapata fungus,U.T.I
haki yake ya msingi itapotea( sex)

au vp mkubwa? nionavyo mimi itakuwa sio poa
Hahahahaha... Madame uko sahihi, lakini nilikuwa naamaanisha muda anapojua mumewe anarudi asiioshe kwanza, aache aikute na udambwi udambwi wake.
 
mi ninachojua ni kwamba kama kweli huyo mumewe anampenda atamsikiliza na watajaribu kuboresha hizo njia wanazotumia.
Huyo jamaa anajaribu kufanya changes wakati huohuo hamuulizi na hataki kumsikiliza mwenzake kuhusu hayo mabadiliko aliyoyafanya.
 
Kama hayakuhusu why unepoteza muda wako kuja kuandika gossip?

Napoteza muda wangu ili kurudisha heshima ya JF ya miaka sita iliyopita. Tulikuwa hatuandiki habari za maisha ya watu binafsi. Tulikuwa tunaongelea matukio na maendeleo. Maisha ya watu binafsi tuliwaachia waandishi wa magazeti ya udaku. Umenisoma?
 
Huyo jamaa hajui jinc ya kuzama chumvini kama vp aache 2 ili acharibu mapenzi yake kwa mkewe huwezi ukazama chumvini ukajaza mimate mdomoni afu umtemee m2 unaefanya nae
 
Haya ni maswala yao binafsi. Wakati wantongozana walikuja kuomba ushauri hapa? Kwa kifupi, hayatuhusu. Kila mtu anabeba msalaba wake. Habari ndio hiyo.

uhhhhhh aaaaaah kizee cha jf cha hayatuhusu kimeshajipendekeza kukoment yasiyomhusu awwwwww!!!!! jf ya wakati huo huwezi kuilinganisha na jf ya sasa na ndio maana hata vitu vimebadilika na kuongezewa ubora.mfano mzuri tanzania miaka ya 60 sio tanzania ya leo tumebadikaje?.ukitaka jf ya miaka 6 iliyopita fungua post za miaka hiyo soma jikumbeshe kama wazee wenzako wanavyosikiliza nyimbo za zilipedwa!!!unafurukutwa na nini mzee wa jf waachie wajukuu waifurahie jf ni wakati wetu sasa.acha kabisa kisebusebu na kiroho papo. sitaki nataka kwa kizee wewe ni mbaya utaugua af upeleke malamiko jf doctors wakati maumivu ni yako binafsi na hayawahusu madaktari, habari sio hiyo kwa sasa mzee wa jf utaisoma ukiwa umesimamia .........kwenye ......... apo ujuwe naogopa ban na heshima ku drop.
 
Napoteza muda wangu ili kurudisha heshima ya JF ya miaka sita iliyopita. Tulikuwa hatuandiki habari za maisha ya watu binafsi. Tulikuwa tunaongelea matukio na maendeleo. Maisha ya watu binafsi tuliwaachia waandishi wa magazeti ya udaku. Umenisoma?

yaaan mzee inabidi uonanane na wataalam naona kama umri unaanza kurejea utoto vile mambo ya maendeleo unayoyasema wewe yafuate majukwaa husika nikwambie kitu hata jukwaa la siasa SASA hivi utakuta mambo ya wanasiasa binafsi kabisa na hayahusiani na siasa kabisa na wanachangia hawathubutu kusema hayatuhusu kwa kuwa lisipokupata leo litakupata kesho na lisipokupata wewe litawapata ndunguzo. lema anatuhumiwa kwa kubaka,mwigulu kuchukua wake za watu na wengineo ambao ni wanasiasa wanajadilwa jukwaa la siasa kwa vitu ambavyo ni binafsi.kizee msalimu bibi nategemea huwa unamjumuisha kwenye hii sentensi ya hayatuhusu.
 
Duh......ndoa zingine mashaka.ndio maana waliopo ndani wanatamani kutoka wakati waliopo nje wanataka kuingia.pole dadaaa .
Ngoja nikunong'oneze sio wote wanaotaka kutoka , wapo wachache tu wanaotaka kutoka lkn usimwambie mtu umesikia.
 
uhhhhhh aaaaaah kizee cha jf cha hayatuhusu kimeshajipendekeza kukoment yasiyomhusu awwwwww!!!!! jf ya wakati huu huwezi kuilinganisha na jf ya sasa na ndio maana hata vitu vimebadilika na kuongezewa ubora.mfano mzuri tanzania miaka ya 60 sio tanzania ya leo tumebadikaje?.ukitaka jf ya miaka 6 iliyopita fungua post za miaka hiyo soma jikumbeshe kama wazee wenzako wanavyosikiliza nyimbo za zilipedwa!!!unafurukutwa na nini mzee wa jf waachie wajukuu waifurahie jf ni wakati wetu sasa.acha kabisa kisebusebu na kiroho papo. sitaki nataka kwa kizee wewe ni mbaya utaugua af upeleke malamiko jf doctors wakati maumivu ni yako binafsi na hayawahusu madaktari, habari sio hiyo kwa sasa mzee wa jf utaisoma ukiwa umesimamia .........kwenye ......... apo ujuwe naogopa ban na heshima ku drop.

Mmmh!!!! Hizi shule za kata zina mambo!!! Hongera Dr.Dalichako kwa kututangazia matokeo sahihi ya form four 2012. Hivi wewe hata darasa la saba umemaliza? Unachoandika, malaika ndio wanaweza kukuelewa.!!
 
Mmmh!!!! Hizi shule za kata zina mambo!!! Hongera Dr.Dalichako kwa kututangazia matokeo sahihi ya form four 2012. Hivi wewe hata darasa la saba umemaliza? Unachoandika, malaika ndio wanaweza kukuelewa.!!

kizee cha jf shikamoo!!!msomi wa zamani wa chini ya muti halafu hujui ulichokisoma zamani heshima na busara mbona ni kitu cha bure wazee hawakoivyo! halafu hakuna chuo cha heshima na busara kama uliikosa kwa wazazifwalezi lazima itakusumbua sana! hufanani na wazee wenzako wa humu. waathirika wa shule za kata ni wajukuu zako mzee sioni sababu ya wewe kulifurahia hili,mbona unawataja malaika,ndalikacho bila sababu najuwa umenielewa ila unazuga au umesahau nilichoandika af ukamuua kuwasingizia malaika na ndalikacho?kweli uzee wako unakuendea kombo pole wewe!
 
Mmmh!!!! Hizi shule za kata zina mambo!!! Hongera Dr.Dalichako kwa kututangazia matokeo sahihi ya form four 2012. Hivi wewe hata darasa la saba umemaliza? Unachoandika, malaika ndio wanaweza kukuelewa.!!

unazeeka haraka navibaya wewe afadhali ya babu........wa jf anazeeka mwili lakin akili iko sawa
 
Kama hayakuhusu why unepoteza muda wako kuja kuandika gossip?

swahiba, huyu mzee wa jf ya miaka 6 iliyopita ukomo wake kufikiri huwa unaishia kwenye neno hayatuhusu tembelea post zake zote hilo neno lazima liwepo.kweli nimeamini hasidi hana sababu!!!mbona analazimisha avunjiwe heshima na wajukuu anaowalea nilichongundua ana ubinafsi sana nahapendi watu wengine wajifunze na ameanzia kuzeeka akili.huwa simuachiihuyu akinizukia nazuka naye kuna post moja aliomba msamaha ilikuwa habari na hoja mchanganyiko.
 
Kila Mmoja anajivunia enzi zake.

Patamu hapo
 
Back
Top Bottom