kweli mapenzi uchafu, na udhia............

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
ni mwanamama ambaye ameolewa na kuachika mara moja na sasa yupo ndani ya ndoa kwa miaka miwili na ushee,kwa mumewe wa kwanza kulikuwa hakuna hayo matatizo sasa ndio anaona mapenzi ni udhia na uchafu.alipoolewa na mumewe wa pili hakukuwa na tatizo lolote mpaka walipofikisha mwaka mmoja na nusu ndio kasoro zimeanza kujitokeza ni kwamba,
mumewe ameanzisha tabia ya kwenda chumvini wakati hawakuwahi kufanya hicho kitu hata siku moja!
mkewe amemuuliza umejulia wapi akamwambia ameangalia kwenye simu ya rafiki yake ambaye amehifadhi filamu za ngono sasa akaona hiyo staili akaipenda ndio akaanza kuifanyia mazoezi kwa mkewe.kikubwa na chakushangaza zaidi ni kero kubwa kwa mkewe akienda chumvini yale mate yanamwangika kwenye shuka hadi linalowa na yanayobakia mdomoni humlazimisha denda na kumtemea yote mdomoni na mkewe huyameza kwa kuogopa kumkasirisha mumewe, amevumilia ameshoka ikabidi avunje ukimya na kumueleza hicho kitendo ni bora tukiache kwa kuwa hatukiwezi mumewe amekataa na akampiga sana na kumwambia kishapa jemba ingine.mumewe anampenda na kumuacha hawezi na hicho kitendo cha kunyweshwa mate pia hawezi.afanyaje ili kuinusuru ndoa yake na kuepukana na mvua ya mate?

mumewe ni dactari wa meno na ni muhdzabe.

ushauri wangu ni kwamba aachane nae kasema ataolewa mara ngapi na umri umeshapita?kweli mapenzi kizaizai yanaumiza moyo

ushauri wenu unahitajika wadau

cc:wanajamvi wote wa mmu
 
wanaume wengine bwana,ubabe mwingi.s.ex haitaki karaha,si bora amekuwa muwazi.huyo mume yeye anachukulia ubabe ubabe tu.huyo mke kama hajaridhia,aendelee na msimamo wake,amwambie kuwa akiendelea kumpiga kwa sababu hiyo atamshitaki
 
Kweli duniani kuna mambo! Anajisikia raha gani kunywesha mate mwenzie? Nahisi amemchoka ss anamtafutia sababu. Hiyo sii ndoa bali utumwa. Mwambie achague kati ya uhuru ktk ujane au utumwa ktk ndoa.
 
wanaume wengine bwana,ubabe mwingi.s.ex haitaki karaha,si bora amekuwa muwazi.huyo mume yeye anachukulia ubabe ubabe tu.huyo mke kama hajaridhia,aendelee na msimamo wake,amwambie kuwa akiendelea kumpiga kwa sababu hiyo atamshitaki

hilo la kumshtaki ni neno kuu shoga angu,ntamwambia
 
wanaume wengine bwana,ubabe mwingi.s.ex haitaki karaha,si bora amekuwa muwazi.huyo mume yeye anachukulia ubabe ubabe tu.huyo mke kama hajaridhia,aendelee na msimamo wake,amwambie kuwa akiendelea kumpiga kwa sababu hiyo atamshitaki

wakati mwingine wanaume tunaboa sana sasa huyo jamaa mbona anamtesa tu mwenzake kwa umbumbumbu wa mapenzi
 
hvi cjaelewa au!huyu dada hatak mumewe aende chumvini?jaman ina maana mumewe hajui mambo hvyo!kuendewa chumvin kulivyo raha tu...huyo jamaa nae analoanishaje mimate hvyo,c alambe kistaarabu
 
hvi cjaelewa au!huyu dada hatak mumewe aende chumvini?jaman ina maana mumewe hajui mambo hvyo!kuendewa chumvin kulivyo raha tu...huyo jamaa nae analoanishaje mimate hvyo,c alambe kistaarabu

kwenye nyekundu nakubaliana wewe 100%!!!!
ngoja nikueleweshe swaiba,tatizo haliko kwa mmiliki wa chumvi...............tatizo liko kwa mtafutaji wa chumvi hajui sheria za utafutaji wa chumvi.
 
Anashangaa Chumvini jee siku akitaka Topeni si ndio atazimia kabisaa hayo ndio mapenzi bana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
wakati mwingine wanaume tunaboa sana sasa huyo jamaa mbona anamtesa tu mwenzake kwa umbumbumbu wa mapenzi

afu ni bora angekubali waangalie wote hizo picha hataki, anasema ameipenda hiyo moja zingine zote mbaya na zingine huwa tunafanyanga naogopa kukupoteza mke wangu.
 
Anashangaa Chumvini jee siku akitaka Topeni si ndio atazimia kabisaa hayo ndio mapenzi bana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kila kitu kinaenda kwa maandalizi,nahisi akitaka kukata topeni ki ustaarabu anaweza akakubali kwa maana mapenzi hayatabiriki rafiki.
 
kwenye nyekundu nakubaliana wewe 100%!!!!
ngoja nikueleweshe swaiba,tatizo haliko kwa mmiliki wa chumvi...............tatizo liko kwa mtafutaji wa chumvi hajui sheria za utafutaji wa chumvi.

yap ua right hajui sheria za kwendea chumvin..anayejua atoe darasa!cz kuna mafund..dah
 
yap ua right hajui sheria za kwendea chumvin..anayejua atoe darasa!cz kuna mafund..dah

Kweli hapo tatizo ni sheria za kwenda chumvini tu..!! Akirekebisha hapo huyo mama/dada atakuwa anadai mwenyewe..!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom