ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
- Thread starter
- #81
mwambie akipenda boga apende na maua yake...!!!
haya ntamwambia ila mate mmmmmh
mwambie akipenda boga apende na maua yake...!!!
haya ntamwambia ila mate mmmmmh
hv mtu unaweza kupika mboga bila kuweka viungo kama,nyanya,kitunguu na vitu vingine?mwambia ajifunze kula mlo kamili.Au wewe Ummu unaweza kula ugali bila mboga jamani?
ni mume,nimevaa uhusika kwa kuwa huyu ninaye msilimulia ni rafiki yangu, lake langu na langu pia lake
Na wewe mwambie umeona kwemye simu ya shogaako! Nokia asha!haha hahaa ntamwambia bana ila sjawahi kumuuliza kama huwa ni mpenzi wa kupiga vuvuzela
Ungenipa namba za huyo dada ili nimuelekeze kwa makini na kwa vitendo liwe somo kwa mume wake
muke ya mtu/ muhdzabe sumu
kama mke wa mdahadzabe ni sumu itakuwa poa manake baada ya kumfundisha kumla chumvi kiukwelikweli nitamtumia kupunguza panya homemuke ya mtu/ muhdzabe sumu
mweeee!kama nawaona vile!
ahahhahhhahahha my evil mind!
asante ila bado hatujapoa kwa kuwa hatujapata solutionpoleee,kazi kweli kweli.:smokin: