Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,317
- 7,776
Hayo matukio ya mc pilipili ulikua unayaona wewe tu mkuu?Mapenzi kwa zama hizi ukiamua kulia utalia Sana.
Me kwa kweli naishi nje ndani.
Alafu huyo pilipili mwenyewe mbona alikuwa anampiga mkewe matukio Hadi akawa ana appear kwa mange
Ni yeye kwa vazi jingine [emoji23][emoji23][emoji23]Cacutee mpaka sasa unajaza coaster ngapi? [emoji81]
Halafu nakufananisha na kadogoo naye ana nyuzi km hizi za kuacha na kuachwa..!!
duh [emoji872][emoji872]Hayo matukio ya mc pilipili ulikua unayaona wewe tu mkuu?
Coc sikia basi ati! Unajua Miiiiimi Nina.........Ni yeye kwa vazi jingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo yupo kibiashara hata Mimi nikimpa pesa, akuchafue wewe utachafuka tu mkuu, yule dada Wala usimteteMange ashaweka connection zake. Akiwa lodge
Wee huogopiiii??Coc sikia basi ati! Unajua Miiiiimi Nina.........
Nisha falllllllll n loveeee baby💌💌💌💯❤️❤️Wee huogopiiii??
😹😹😹Ni yeye kwa vazi jingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kheri, kuliko kumnyamazia ghafla na mtu hajui kosa lake.Dhana ya malipo ni hapa hapa huielewi eeh? Analipa Mungu sio sisi wanaume, na Mungu ili alipe anaangalia ya moyon mwako. So angevizia jamaa akosee ndioo amuache ila nayeye lazima tu angekutana na mshahara wa Mungu😃 yaleyale
Naelekea mid 30 mshangaz wa nguvu
Yoú are very smart lady ...nimesoma comment kama 2,3 zako dooh noma san..Kila mtu ni dhaifu akipenda. hasa yule anaekaa upande wa I love You 😀😀
Bora uwe unavizia upande wa I love u too
Huenda hayajakukuta. Huenda ni wasiwasi wako tu cacutee.Jaman za jioni?
Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....
Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story mbili tatu.... Madai yake akanielewa. Akawa sasa anasumbua kweli kweli kwamba ananihitaj.
Basi me nkajiuliza mbona niko single tu si naweza kuwa na huyu mtu tusaidiane mawazo.... Huku na huku tukakutana (elewa maana ya neno kukutana) basi bwana baada ya pale basi tu nikawa sina mood nae....kila akinitafuta nikawa namkwepaa... Akawa humble kweli msomi wa watu Katika kujua nini kimehapen me nkamjibu tu sitaki tena.
Akanisumbua Sanaa. Akawa anajiuliza nimepatwa na nini. Eti ananiuliza kwani nilitaka nini kwake? Mbona nimemchezea.... ! Me nikamblok nikamute. Sasa na Mimi yamenikuta hayo hayo nimejikuta najicheka sanaaa baada ya kuhuzunika.
Kweli malipo ni hapahapa.
Leo nitamtoa kufuli akinitafuta nimuombe msamaha... Ila sitataka mazoea.
NehiiiiiNisha falllllllll n loveeee baby[emoji181][emoji181][emoji181][emoji817][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81]