Doctor Stranger
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,202
- 6,143
matrain hayana cash outKucash out ni uoga kwa timu chache.
Ila kwa treni kama hilo kucash out ni ushujaa kabisa.
Mkeka ukishafikia hatua hiyo huwa unahitaji uangalizi maalum kama mgonjwa wa ICU.