Kweli Kubet ni kazi ngumu

Sijawahi na sitowahi kuja ku bet...
Smart911 limefika hapa leo zinacheza mechi 11
Screenshot_20211003-113530.png
 
Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa. Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa.... yaani akili haitulii kabisa moyo unaenda mbio hatari. Anyway ngoja niendelee kuisubiri 30M yangu kama mambo yakienda vizuri...

Kweli kamali ngumu mweeh!
Kila la kheri mpambanaji japo kungekuwa na option ya kutoa mapema ningekushauri uutoe tu mpunga ulipofika sio pabaya sana na wala sio pazur sana hawa jamaa dk za mwisho unaweza sema wanavisa na wewe....ila kosa jingine la kiufundi ni kuuweka huo mkeka kabla ya kushinda au kushindwa humu jukwaani kuna watu wana macho mabaya sana, binafsi nakuombea ushinde maana hawa watu wa kamari wanatka kurudisha watu vijijini kwa nguvu so mmoja ukimpiga angalau na wao wapate maumivu kidogo.
 
Back
Top Bottom