Kweli Kubet ni kazi ngumu

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,404
15,873
Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa.

Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa. yaani akili haitulii kabisa moyo unaenda mbio hatari. Anyway ngoja niendelee kuisubiri 30M yangu kama mambo yakienda vizuri.

Kweli kamali ngumu mweeh!
 
Licha ya kuwa naye ila ni furaha ya moyo na macho. Huvutia maana ni pisi kali hasa.
Sema mkuu wanasema wengi wao they are not wife materials..hivi hili lina ukweli au ni fallacy ya generalization tu inayotusumbua wabongo?
 
Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa. Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa.... yaani akili haitulii kabisa moyo unaenda mbio hatari. Anyway ngoja niendelee kuisubiri 30M yangu kama mambo yakienda vizuri...

Kweli kamali ngumu mweeh!
Tupe mrejesho.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom