Kweli Kubet ni kazi ngumu

😂😂😂😂😂 pole sana Mkuu ushike moyo wako ili usichomoke. Kila la heri ili UJINYAKULIE kitita chako cha 30M ili nawe uanze KUTESA KWA ZAMU.

Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa. Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa.... yaani akili haitulii kabisa moyo unaenda mbio hatari. Anyway ngoja niendelee kuisubiri 30M yangu kama mambo yakienda vizuri...

Kweli kamali ngumu mweeh!
 
mkuu mimi mara ya kwanza kubet (2017) nilistake 1000 ili nishinde million 8,

mchanganuo wangu kabla ya game kuanza
pikipiki used .1,200,000
simu kali 800,000
getto kali la kutafunia totoz:kodi 1,000,000 (kwa mwaka)
kiwanja:1,000,000
biashara : 2,000,000

million 2 iliyobakia ni ya kulia BATA

LAKINI

leo 2021 natafuta odd 2.0 (timu mbili) nastake 10k nakula 20k (sio siku zote lakini)

nadhani wanasaikolojia mtaniambia nilikuwa n hali gani baada ya kukosa hiyo million 8

nadhan wazee wa kuweka mzigo mtakuwa mnajua 2017-2020 nimekuwa mtu wa aina gani

2021 mwendo wangu ni odd 2 tu (lakin sio uhakika 100 asilimia,ila unapunguza uwezekano wa kuliwa na uwezekano wa kuutesa moyo kwa presha )
 
Kama hivi

3D175F82-AE5D-4D0A-96B2-1E3F8B183FB6.jpeg
 
Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa. Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa.... yaani akili haitulii kabisa moyo unaenda mbio hatari. Anyway ngoja niendelee kuisubiri 30M yangu kama mambo yakienda vizuri...

Kweli kamali ngumu mweeh!
Mkuu kauchukue hela yako kwa hizo timu zilizoshinda. Utanikumbuka
 
Back
Top Bottom