Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
Unawafahamu
hawa watu
stamina
Zari
gadna
blue
hawa watu
stamina
Zari
gadna
blue
Hahaa nimependa hii. Kwa hakika sitakuangusha mkuu.Hapo safi mkuu, piga muwa haswa [emoji3] mwaga na vihela vya kumpendezesha mbona hachomoki huyo ata ukikosea atakuomba yeye msamaha [emoji38][emoji38]
Kwa huyu binti ni kweli sina akili mkuu [emoji2]. Sawa mimi ni kenge [emoji23].One man down.....unawekeza kwa binti wa 22 years??Tena ukute Yuko chuo??
Hv una akili sawasawa???kenge sana
[emoji2][emoji2][emoji2]Kama hajatumia kadi yako ATM atoe hela mwenyewe bado hujapenda wewe nadhani unakaribia kupenda.
Labda, who knows.... [emoji3]Unakaribia kufa boss...... Siku zote ukiwa mtenda mabayaaaa then ukabadilika na kuwa mwema basi ujue mtoa roho yupo around the corner
[emoji41]Anti markownikoff
Nawafahamu mkuu.Unawafahamu
hawa watu
stamina
Zari
gadna
blue
Hao wote saiv ni mabahili balaa... Wanajua walichovuna....Nawafahamu mkuu.
HahahahaNaunga mkono hoja ya bandiko lako.
Nikutakie kila la kheri katika mahusiano yako na uzidi kubaki na furaha.
Inapendeza ukipendwa unapopenda
Sikukatishi tamaa ila kwa hio age ya huyo binti bado hajafikia stage ya kujua nini hasa anahitaji katika maisha yake na mwanaume anayemtaka. She is still finding herself.Habari zenu wakuu,
Zamani nilikuwa nashangaa sana kuona mwanaume mwenzangu anahonga gari, nyumba, ticket ya flight kumpeleka mwanamke vacation kwenye nchi ya chaguo lake, ila now I know the motive behind. TRUE LOVE.
Iko hivi, ukipenda hakuna kitu mpenzi wako atakwambia usimtendee. Baada ya kuishi miaka takribani 15 ya uzinzi 'mtambuka', nimejikuta nimenasa kwa kabinti kadogo sana ka miaka 22!! Nimekutana nako recently, baada ya kukafanyia thorough assessment nikagundua kana sifa zote za mke
Nimejikuta nakafanyia mambo ambayo sikuwaza nitakuja kumfanyia mwanamke! Love is a beautiful thing. Nafanya hadi vitu ambavyo baada ya kuvifanya najishangaa mwenyewe! Hela natoa bila kuombwa. Juzi nikajikuta naitembelea 'phonebook' yangu na kuanza kufuta namba za wapenzi wangu wa zamani! Msukumo wa ndani ndiyo unanishawishi kuyafanya haya.
Ukiona unatumia nguvu ya ziada kuomba au kufanyiwa kitu na mwanaume wako ujue hapo sio mahali pako, kuna tatizo mahali. Kimbia. Mwanaume anayekupenda ataifanya furaha yako iwe kipaumbele chake.
Guys, I am in love. Simu napiga hadi najishangaa. Text ndiyo usiseme. Nazidi kumuomba Mungu huyu binti asibadilike ili aje kuwa mama wanangu panapo majaliwa. Mniombee pia wakuu (ingawa hatufahamiani).
Msamiati 'uzinzi mtambuka' ni umalaya usio na staha wala mipaka (kwa tafsiri isiyo rasmi sana).
Nawatakia jioni njema. Mapovu ruksa.
Mwamba ana upofu wa penzi.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe mzee unamiliki mtoto wa miaka 22 mnaongea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora akuchune tu.
Nashukuru kwa ushauri mzuri mkuu, ingawa wakati mwingine 'umri' siyo factor pekee. Inawezekana kabisa binti wa miaka 22 akawa na fikra za binti wa miaka 24+ unayoisema 'and the vice versa is true'. Anyway, muda utaamua.Sikukatishi tamaa ila kwa hio age ya huyo binti bado hajafikia stage ya kujua nini hasa anahitaji katika maisha yake na mwanaume anayemtaka. She is still finding herself.
Jiandae kisaikolojia tu maana uwezekano wa kuachwa na simanzi ni 89% especially kama ndio yupo chuo now. Wengi hubadilikaga tabia wakifika 3rd year.
Naliongea hili kama Relationship Enthusiast. Mwanamke wa kumkabidhi moyo ni wa kuanzia age ya 24 and above. Most likely wanakuwa wameshajua ni kitu gani wanachotaka katika maisha.
Hahahaha ,asee[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe mzee unamiliki mtoto wa miaka 22 mnaongea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora akuchune tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba ana upofu wa penzi.
Tumuache kidogo ainjoy [emoji23][emoji23][emoji23]!!! ku fall in love na mtoto hamna tofauti na kununua kiwanja cha urithi bila makubaliano na ukoo wa wenye mali.
Hahahaha, keki ya buku 50 au ? Dah JF banaWewe keki ya besidei tu ilikushinda mengine ndio utaweza[emoji16][emoji16]
Mkuu hulali ?[emoji23]. Au huko uliko ni mchana sasa hivi!!!Hao wote saiv ni mabahili balaa... Wanajua walichovuna....
Mkuu mm nakupa moyo we endelea tu kula raha, ya mbele huko omba MunguNashukuru kwa ushauri mzuri mkuu, ingawa wakati mwingine 'umri' siyo factor pekee. Inawezekana kabisa binti wa miaka 22 akawa na fikra za binti wa miaka 24+ unayoisema 'and the vice versa is true'. Anyway, muda utaamua.
Nilikwambia tulia kwangu bebe...achana na matapeli ohooo😂😂😂Wewe keki ya besidei tu ilikushinda mengine ndio utaweza[emoji16][emoji16]