Hao ni KKT Mabibo,hivi waliishia wapi au sifa zilizidi maana Lusifa bado hajafa
Wametoa DVD yao ila sio original. Ukitaka original tafuta audio CD yao, nzuri sana Mimi ninazo zote
Hao ni KKT Mabibo,hivi waliishia wapi au sifa zilizidi maana Lusifa bado hajafa
Mkuu Nyimbo za Bahati na Shusho ulikuwa mdogo? Au nimesoma vibaya?sasa hivi wamebakia wakina Rose Muhando na mauno yao, hivi umeona video ya Rose ya wololo? huyu dada ananichefua hadi basi, sijui mshauri wake ni nani huyu mwanamke, na sijui halipiti kwenye mitandao likasoma maoni ya watu akajirekebisha? achukue mfano wa Bahati, Christina shusho etc, hizo nyimbo nilizisikia nikiwa mdogo but mpaka leo nikizisikia nasuuzika roho sana sana, hazichuji kabisaa.
Hizi ndizo nyimbo/muziki bora wa Injili nilipata kusikiliza
************************************
1. Katika Viumbe Vyote
2. Mmoja wa Wanasheria
3. Mtu Ajaribiwapo
4. Mtu Mkubwa Mmoja
5. Neno Alikuwa kwa Mungu
6. Nyumba Juu ya Mwamba
7. Samsoni Mnadhiri
8. Twasoma Mwezi wa Sita
9. Ufunuo wake Yohana
10. Wakati ule wa Nuhu
************************************
Mungu alinena nae Musa hicho kiatu kivue kivue
Kuiba waume wa wenzio nakuambia hicho kiatu kivuee
Mkuu nadhani ni kwa nia nzuri tu ya kutaka wahusika wapate jasho lao kwa kazi kubwa waliyoifanya.ingawa sina uhakika maana walijitoa haswaa.Nipo hapa nasikiliza nyimbo za zamani hadi machozi yananilenga. Kwa kweli hawa waimbaji wa zamani wamebarikiwa sana. Ila kuna watu wana roho mbaya mno. Baada ya kuona tunaweza kupata nyimbo hizo YouTube, wameenda kuzifuta. Waacheni watu tusikilize nyimbo za Mungu. Roho mbaya ya nini???
Napenda sana nyimbo za Barabara 13, Arusha Town Choir, Upendo Choir (Hai), Nkinga Christian Choir (NCC), na Patandi Choir (Arusha).
Mkuu kupata albumu nzima inaweza kuwa ngumu. Unaweza kutaja baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye album hii nikutafutie?Kuna albamu ya ulyankulu kwaya inaitwa UPENDO WA MUNGU mwenye nayo aiweke humu
Mkuu kupata albumu nzima inaweza kuwa ngumu. Unaweza kutaja baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye album hii nikutafutie?
[/QUOTE
ninayo tape lakini pale juu haijaandikwa majina ya nyimbo lakini bila shaka zitakuwa na majina haya 1. Upendo wa mungu, furahia ukombozi, pilato alipomtwaa, noeli, shamba lenye thamani
Mkuu hawa patandi kila nikiwasikia hasa wimbo wao mmoja unaoimba "mambo yaliyotokea meru yanasikitisha" napata huzuni ya ghafla ya mjomba wangu aliyefia vita vya dayosisi huko miaka ya 1193/4[emoji29]Nipo hapa nasikiliza nyimbo za zamani hadi machozi yananilenga. Kwa kweli hawa waimbaji wa zamani wamebarikiwa sana. Ila kuna watu wana roho mbaya mno. Baada ya kuona tunaweza kupata nyimbo hizo YouTube, wameenda kuzifuta. Waacheni watu tusikilize nyimbo za Mungu. Roho mbaya ya nini???
Napenda sana nyimbo za Barabara 13, Arusha Town Choir, Upendo Choir (Hai), Nkinga Christian Choir (NCC), na Patandi Choir (Arusha).
Haa kumbe na wale ni kwetu pazuri? Nilipenda sana nyimbo zao utotoni!!
Ukiipata hii album nitag.Hizi ndizo nyimbo/muziki bora wa Injili nilipata kusikiliza
************************************
1. Katika Viumbe Vyote
2. Mmoja wa Wanasheria
3. Mtu Ajaribiwapo
4. Mtu Mkubwa Mmoja
5. Neno Alikuwa kwa Mungu
6. Nyumba Juu ya Mwamba
7. Samsoni Mnadhiri
8. Twasoma Mwezi wa Sita
9. Ufunuo wake Yohana
10. Wakati ule wa Nuhu
************************************
Mnaweza kujikumbusha hapa:
Mie nilikuwa Mpenzi mkubwa wa Nzega Mission Choir. Pia Kwaya ya Kanisa Kuu Arusha na yule Mwalimu wao mwenye madevu, walikuwa wananimaliza kwa uimbaji wao.
Ila kwa sababu fulani fulani, hadi leo ninapenda sana na kuzitafuta nyimbo za Mwanza Town Choir. Hii wengi wanachanganya na Kwaya ya AIC, hapana. Hii nasikia ilishakufa kama Kwaya na sijui wapi naweza kuipata kanda yao nzima yenye hizo nyimbo.
Waweza kusikiliza hapa chini kuanzia wimbo wa 141-145. Kama kuna mtu anazo basi ntanunua CD au kaseti yake na kuirekodi na kumrudishia copy ya CD akitaka.
https://archive.org/details/Injili
Naona hakuna aliyezipakua hizi nyimbo. Mimi ninazo zote mp3 tena quality nzuri. Kesho nikiwasha kompyuta yangu mpakato nitaziweka hapa zote. Nikisahau mnikumbushe wadau. Huwa nazisikiliza nyimbo hizi nikiwa na huzuni au kama nimetingwa na shughuli nzito inayohitaji utulivu wa fikra na roho.Hizi ndizo nyimbo/muziki bora wa Injili nilipata kusikiliza
************************************
1. Katika Viumbe Vyote
2. Mmoja wa Wanasheria
3. Mtu Ajaribiwapo
4. Mtu Mkubwa Mmoja
5. Neno Alikuwa kwa Mungu
6. Nyumba Juu ya Mwamba
7. Samsoni Mnadhiri
8. Twasoma Mwezi wa Sita
9. Ufunuo wake Yohana
10. Wakati ule wa Nuhu
************************************
Naona hakuna aliyezipakua hizi nyimbo. Mimi ninazo zote mp3 tena quality nzuri. Kesho nikiwasha kompyuta yangu mpakato nitaziweka hapa zote. Nikisahau mnikumbushe wadau. Huwa nazisikiliza nyimbo hizi nikiwa na huzuni au kama nimetingwa na shughuli nzito inayohitaji utulivu wa fikra na roho.