sasa utajuaje? Kwani saa wanakutongoza huwa wanakuja na pombe mkononi na sigara? Yaani sijakusomaanapo nitongoza mwanaume ambaye hanywi pombe, havuti sigara, wala kilevi chochote basi mimi hoi.
na bange?mi cnywi pombe na wala cvuti sigara
Anapo nitongoza mwanaume ambaye hanywi pombe, havuti sigara, wala kilevi chochote basi mimi hoi.
Anapo nitongoza mwanaume ambaye hanywi pombe, havuti sigara, wala kilevi chochote basi mimi hoi.
haya mama ila wanaume wanaokunywa pombe wajanja sana i like them mwanaume wa juice mmmmh?bebii am talking about a life time relationship.
na hizo ndizo sifa za mwanaume rijali ... other wise, utajitafutia pressure... straight edge life style ndio mpango mzima!
mwanaume mvuta sigara atakusababishia cancer
mwanaume mlevi .. utaambulia kipigo na kurudi nyuma kimaendeleo
hongera!
je ushapata mwanaume wa aina hiyo! tupo wachache sana! alafu bahati mbaya tumewahiwa tayari...
Yes I am!!