Kwas sifa hizi mwanaume ninampa nafasi ya kumfikiria.

Kikwapa mbona kiko ashy?

NB: Halafu ungejibu, 'yes, it's me' na siyo 'yes, I am'. Just an FYI.

ha ha haaaa....na bado ndo maana anataka wasiokunywa pombe hawatamtoa kasoro ha ha haa kwapa duh!! i let every person draw his/her own conclusion!!
 
Mimi cnywi na wala cvuti sigara...lakin napenda mchezo wa kibaba thana na hata cku haipiti..so utakuwa tayar kwa mchakachuo wa kila cku?
 
Aisee, kwa jinsi ulivyo kwenye hiyo picha, basi naacha pombe na sigara, hata ukitaka niache kazi nitaacha! Ila kuna ile sigara ya kuvutia chemba, je ruksa ama?
 
taratibu nduka, lugha hiyo ni kali sana. isitoshe yeye ametoa hisia zake. wapo pia wanaovumilia brothermen wenye nanihiii ambazo ni over size. sio fresh kutoa matusi kiasi hicho.
 
taratibu nduka, lugha hiyo ni kali sana. isitoshe yeye ametoa hisia zake. wapo pia wanaovumilia brothermen wenye nanihiii ambazo ni over size. sio fresh kutoa matusi kiasi hicho.

Nimekusoma mkuu, haikuwa lengo langu ieleweke hivyo, nilichotaka kumaanisha ni kuwa mapenzi ni kuvumiliana tu.
 
Anapo nitongoza mwanaume ambaye hanywi pombe, havuti sigara, wala kilevi chochote basi mimi hoi.

sifa zote hizo ninazo tatizo nikuwa vazi la hiyo avatar yako lanionyesha...............you are asking and expecting too much.......................in this dot.com aimless generation....................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom