Kwas sifa hizi mwanaume ninampa nafasi ya kumfikiria.

..nina sifa zte hapo juu na nyongeza ni hizi; si mzururaji,cna tamaa tamaa,nna nidhamu,afu nawathamini sn viumbe km nyinyi..cheki PM yangu nimekutumia.
 
Anapo nitongoza mwanaume ambaye hanywi pombe, havuti sigara, wala kilevi chochote basi mimi hoi.

na hizo ndizo sifa za mwanaume rijali ... other wise, utajitafutia pressure... straight edge life style ndio mpango mzima!

mwanaume mvuta sigara atakusababishia cancer

mwanaume mlevi .. utaambulia kipigo na kurudi nyuma kimaendeleo

hongera!

je ushapata mwanaume wa aina hiyo! tupo wachache sana! alafu bahati mbaya tumewahiwa tayari...
 
Nachukua sana mvulana anayekunywa Pombe
 
haya mama ila wanaume wanaokunywa pombe wajanja sana i like them mwanaume wa juice mmmmh?

Hivi ni kweli baby. hao si ndio kila siku skendo na ma Bar maids. Huoni Asprin alivyo oza kwa Eliza pale zero Pub
 
Kikwapa mbona kiko ashy?

NB: Halafu ungejibu, 'yes, it's me' na siyo 'yes, I am'. Just an FYI.

NN you just know the reason why my armpits look the way they Look.

Thank you for the English Correction, Next time I will pull up my Sox.
 
huyo wa aina hii lazima atakuwa malaya sana,,,, kila juha lina kasoro zake dada watch out! U can find anayekunywa akawa better off kuliko asiyekunywa na ushahidi upo wanaume wengi wasiokunywa wengi ni watu mademu sanaaaaa! Bora uongelee sigara hiyo naku support na kwenye pombe hatuongelei ulevi wa kulala bar but ukipata mwenza anakunywa kistaraabu sioni shida nini!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom