Kwas sifa hizi mwanaume ninampa nafasi ya kumfikiria.

hivi ni kweli baby. Hao si ndio kila siku skendo na ma bar maids. Huoni asprin alivyo oza kwa eliza pale zero pub
sisemei mlevi kwani lazima anywe bar? Siku hz kuna counter home ujaona eeh?
 
NN you just know the reason why my armpits look the way they Look.

Thank you for the English Correction, Next time I will pull up my Sox.

I honestly don't know why your pits look ashy. Maybe you forgot to shave on that day. Did you?
 
kama avatar yako inawakilisha kile unachopenda kuvaa, sahau kumpata huyo mlokole unayemtaka sana sana utawapata hao usio wataka.
 
Bebii am talking about a life time relationship.


kwa hiyo umeshakuwa na lifetime relationships ngapi? coz unapotongozwa na wenye sifa ulizo zitaja we hooooooooooi, lol. Ntarudi kusoma jibu
 
kwa hiyo umeshakuwa na lifetime relationships ngapi? coz unapotongozwa na wenye sifa ulizo zitaja we hooooooooooi, lol. Ntarudi kusoma jibu

Kuwa hoi sio kumkubalia, But akiwa na sifa hizi a consider him for a second thought. Jua vigezo ni Vingi. Mfano Ustaadh MS hata kama hanywi pombe siwezi mfikiria kabisa
 
huyo wa aina hii lazima atakuwa malaya sana,,,, kila juha lina kasoro zake dada watch out! U can find anayekunywa akawa better off kuliko asiyekunywa na ushahidi upo wanaume wengi wasiokunywa wengi ni watu mademu sanaaaaa! Bora uongelee sigara hiyo naku support na kwenye pombe hatuongelei ulevi wa kulala bar but ukipata mwenza anakunywa kistaraabu sioni shida nini!

Kumbeee!! nilikua sijui
 
huyo wa aina hii lazima atakuwa malaya sana,,,, kila juha lina kasoro zake dada watch out! U can find anayekunywa akawa better off kuliko asiyekunywa na ushahidi upo ! Bora uongelee sigara hiyo naku support na kwenye pombe hatuongelei ulevi wa kulala bar but ukipata mwenza anakunywa kistaraabu sioni shida nini!
<br />
<br />
Aaah bana c kweli kuwa ni watu wa mademu na ht km ni watu wa mademu hawawezi kuwa wote banaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom