Kwao hawanitaki kisa mkurya.

Kwao hawanitaki kisa mkurya.

FAIDA 10 ZA KUISHI BILA MPENZI
1:Unalala vizuri
2:Hujali unavyoonekana
3:Hakuna sms usiku wa manane
4:Unaweza kuongea na yeyote
5:Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na
mtu
6:Utaepukana na fitina za watu
7:Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8:Hutakuwa mwenye kudanganyana
9:Utatulia kimawazo
10:Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako .JARIBU
UONE.!
Mmmhu we bhujibhuji hayo inayosema yanaweza kuwa sahihi, wasiwasi wangu ni hii kizazi ya div5 kama itaweza kuedit ushauri huo au kitauchukulia kama ulivyo na madada zetu wakaishia kumegwa na kuzalishwa tuuuu bila kuolewa.
 
Amang'ana,kama kweli umempenda fuata ushauri wa @maxishizo
 
Mkuu fuata ushauri wa Mwita Maranya na kisha ufanye kweli. Kila la heri kwenye ndoa yenu. Watakuja wenyewe pale watakapomuona binti ana furaha ndani ya ndoa yake na maisha yenu yanasonga mbele tena kwa raha zenu. Kila la heri Mkuu.

Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe wa kule mafinga tayari nimempeleka kwetu(Tarime) na amekubalika kwa wazazi wangu, kimbembe kimekuja baada ya kwenda kwao wazazi wake wamekataa wamesema mtoto wao hawezi kuolewa na mkurya kwani eti si watu wazuri wanapiga wanawake na ni wakorofi, nifanyeje kwa sababu nampenda sana huyu binti.
 
Last edited by a moderator:
Naona wakabila wamevamia hïi siredi. Ushauri wangu ni tia mimba, wenyewe watakufuata kuja kubembeleza japo wapewe hata mbuzi. Kwa hili huwaga napenda utaratibu wa zamani ambapo walikuwa wanakamata binti anafungiwa wiki nzima huki 'itelekha' aafu ndo wanakuja kutoa taarifa. Mtaona aibu wenyewe maana utamu ushaliwa wiki nzima.
 
Da napata wasi wasi hapo,mhehe hapendi kunyanyasika na kudharauliwa japo huwa wavumilivu na hujua kupenda au kupendwa,ila linapokuja suala la jambo limemtatiza mda mrf na uvumilivu mwingi'atapofikia kusema swela ela;hapo hakuna kuludi nyuma na pengine maamuzi ya mwisho huwa mabaya sana,na kwa upande wa hawa wenzetu wa mara mmh!sisemi mengi,nishayaona sasa hapo sasa?
 
Na nyie wakurya mmezidi bana badilikeni mkubalike
Hata kwenye maBar mnasumbua na fujo za kijinga
 
Jamani mimi ni kijana mwenye miaka 28 baada ya kumaliza masomo nimepata kazi hapa mjini, sasa nikaamua kutafuta mke ili nioe niache kumbwela mbwela nisije kufa kwa ngoma, nimepata mtoto wa kihehe wa kule mafinga tayari nimempeleka kwetu(Tarime) na amekubalika kwa wazazi wangu, kimbembe kimekuja baada ya kwenda kwao wazazi wake wamekataa wamesema mtoto wao hawezi kuolewa na mkurya kwani eti si watu wazuri wanapiga wanawake na ni wakorofi, nifanyeje kwa sababu nampenda sana huyu binti.

Ndugu yangu Molembe nadhani ungetafuta mkurya mwenzio tu uone na uachane na huyo mnyalukolo
 
Last edited by a moderator:
Hawa kina kamwene wa ajabu sana. Sisi wachaga tunawaolea sana dada dada zao ila kaka zao awaowi kabisa dada zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom