Kwanini zabuni ya kuonesha Ligi Kuu Tanzania Bara haikutangazwa, kapewa Azam moja kwa moja?

TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini.Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini haipewi kuonyesha mechi zote.Mfano ligi kuu ya Uingereza ofa ni kubwa mno kila timu kubwa na ndogo zinafaidika.Wapo skysports,Bsports na Amazon.Ligi hii ya premier ya England ina thamani ya paundi za Uingereza Bilioni 6 na mkataba na Barclays bank mnono.Sasa hapa kwetu TFF itaingiaje mkataba wa miaka 10 na kampuni moja?Ama kweli fumbo mfumbie Mjinga,mwerevu hungamua.WIZARA YA HABARI NA MICHEZO IINGILIE KATI MKATABA HUU KWA SABABU KUU TATU; 1)Tenda itangazwe na makampuni mengi ya utangazaji yatatoa ofa ambazo zitasaidia hata timu ndogo(2) TV moja isepewe asilimia 100 kama ilivyo sasa,zigawanywe kutokana na pesa wanazo ofa(3)Mkataba uwe wa miaka 3 mitatu tu na siyo 10.Kwa wengi na kwa sasa mabillioni wanayaona mengi lakini kwa miaka 10 ni pesa ndogo sana.Hapa pana mambo ambayo inabidi yaangaliwe.TFF wasitufanye Watanzania wajinga na mbumbumbu.HAKUNA MIKATABA YA KUONYESHA MIPIRA KWA TELEVISION MOJA KWA MIAKA KUMI TENA KWA KIASI KIDOGO CHA PESA.TFF VUNJENI MKATABA NA AZAM TANGAZENI TENDA,TV NYINGI ZITAKUJA NA OFA ,TIMU ZOTE ZITAFAIDIKA ZENYE UWEZO NA AMBAZO HAZINA.WIZARA YA HABARI,MICHEZO,BMT AMKENI.
Kwahiyo kwasababu wewe hukusikia that means tenda haikutangazwa ???

Tenda ilitangazwa kwenye vyombo vya habari , kapekue huko
 
Tido Mhando, Afisa Mtendaji wa Azam MEDIA mbele ya waandishi jana alisema hakuna taasisi au kampuni iliyojitokeza kwa TFF au Bodi ya Kuendesha Ligi ya Tanzania kutaka kutoa udhamini na hivyo Azam Media kujikuta inajitwika dhamana na wajibu mkubwa kutoa udhamini mnono ili kuhakikisha udhamini wake unaifanya Ligi ya Tanzania iweze kupanda toka nafasi ya nane barani Afrika kwa "mapesa" hadi nafasi ya tano.

Ingekuwa kampuni nyingine labda ingejiona ipo pekee na kutoa udhamini hafifu.
 
TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini.Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini haipewi kuonyesha mechi zote.Mfano ligi kuu ya Uingereza ofa ni kubwa mno kila timu kubwa na ndogo zinafaidika.Wapo skysports,Bsports na Amazon.Ligi hii ya premier ya England ina thamani ya paundi za Uingereza Bilioni 6 na mkataba na Barclays bank mnono.Sasa hapa kwetu TFF itaingiaje mkataba wa miaka 10 na kampuni moja?Ama kweli fumbo mfumbie Mjinga,mwerevu hungamua.WIZARA YA HABARI NA MICHEZO IINGILIE KATI MKATABA HUU KWA SABABU KUU TATU; 1)Tenda itangazwe na makampuni mengi ya utangazaji yatatoa ofa ambazo zitasaidia hata timu ndogo(2) TV moja isepewe asilimia 100 kama ilivyo sasa,zigawanywe kutokana na pesa wanazo ofa(3)Mkataba uwe wa miaka 3 mitatu tu na siyo 10.Kwa wengi na kwa sasa mabillioni wanayaona mengi lakini kwa miaka 10 ni pesa ndogo sana.Hapa pana mambo ambayo inabidi yaangaliwe.TFF wasitufanye Watanzania wajinga na mbumbumbu.HAKUNA MIKATABA YA KUONYESHA MIPIRA KWA TELEVISION MOJA KWA MIAKA KUMI TENA KWA KIASI KIDOGO CHA PESA.TFF VUNJENI MKATABA NA AZAM TANGAZENI TENDA,TV NYINGI ZITAKUJA NA OFA ,TIMU ZOTE ZITAFAIDIKA ZENYE UWEZO NA AMBAZO HAZINA.WIZARA YA HABARI,MICHEZO,BMT AMKENI.
Tukisema umekurupuka tutakuwa tumekuonea mkuu?
 
TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini.

Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini haipewi kuonyesha mechi zote.Mfano ligi kuu ya Uingereza ofa ni kubwa mno kila timu kubwa na ndogo zinafaidika.

Wapo skysports, Bsports na Amazon. Ligi hii ya premier ya England ina thamani ya paundi za Uingereza Bilioni 6 na mkataba na Barclays bank mnono. Sasa hapa kwetu TFF itaingiaje mkataba wa miaka 10 na kampuni moja? Ama kweli fumbo mfumbie Mjinga,mwerevu hungamua.

WIZARA YA HABARI NA MICHEZO IINGILIE KATI MKATABA HUU KWA SABABU KUU TATU; 1)Tenda itangazwe na makampuni mengi ya utangazaji yatatoa ofa ambazo zitasaidia hata timu ndogo(2) TV moja isepewe asilimia 100 kama ilivyo sasa,zigawanywe kutokana na pesa wanazo ofa(3)Mkataba uwe wa miaka 3 mitatu tu na siyo 10.Kwa wengi na kwa sasa mabillioni wanayaona mengi lakini kwa miaka 10 ni pesa ndogo sana.

Hapa pana mambo ambayo inabidi yaangaliwe.TFF wasitufanye Watanzania wajinga na mbumbumbu. HAKUNA MIKATABA YA KUONYESHA MIPIRA KWA TELEVISION MOJA KWA MIAKA KUMI TENA KWA KIASI KIDOGO CHA PESA. TFF VUNJENI MKATABA NA AZAM TANGAZENI TENDA, TV NYINGI ZITAKUJA NA OFA , TIMU ZOTE ZITAFAIDIKA ZENYE UWEZO NA AMBAZO HAZINA. WIZARA YA HABARI, MICHEZO, BMT AMKENI.
Ujuaji mwingi kumbe huna unachojua!
Tenda ilitangazwa na kati ya walioomba ni Azam Tv, Star Times na TBC. Kati ya wote hao ni Azam pekee aliyetoa dau lililonona, wengine wote ni aidha waliichukulia poa ligi yetu au hawakuwa na mtaji wa kutosha.
Kwa dau hilo la Azam ni wazi kuwa tunaenda kuwa na ligi bora sana na yenye ushindani cause zile kero ndogondogo zilizokuwa zinazikabili team zetu zitatatuliwa na ushindani utabaki kiwanjani na si nje ya hapo.
 
Hahaha mkuu, kuna vingene uko sawa ila nakusihi sana kabla ya kuandika uzi hapa jf tafadhali fanya uchuzi hata kidogo. Nitakurekebisha mambo mawili tu afu ukafanye uchunguzi mwenyewe....

1: TFF walitangaza kumalizika kwa mkataba na tenda ilitangazwa kwenye vyombo vya habari ( wewe hukusikia).

2: Mwenye haki ya kuonyesha ligi ya EPL ni sky sports tu, wengine wote wanunua matangazo kutoka kwake.

Vipo vingi vya kukurekebisha ila jaribu kuviangalia mwenyewe.....
Namba 2 unakosea.
Ni BT na Sky
 
Back
Top Bottom