ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,906
- 6,909
Azam Media na Shirikisho la Soka Kenya waingia mkataba wa haki ya matangazo kuonesha ligi ya Kenya wenye thamani ya Shilingi za Tanzania Bilioni 23, kwa muda wa miaka saba.
Hii ni hatua njema kwa kukuza ligi za ukanda wetu. Wakenya toeni support kwa Azam media, mtafurahia sana.
Viva Azam.
Viva Tanzania.
Viva East Africa.
===
Pia soma - Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro