Wale waliovimbiwa sio wazungu bana ni hao Wapopo wanafakamia junk food tu mtaani maana ni cheap.Wazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?
40% ya wamarekani ni overweight na obese kutokana na kula hovyo na ulaji usiopangiliwa na inakadiriwa kufikia 2030 60% ya wamarekani watakua overweight kutokana na kula hovyo wewe unasema wazungu hawali sana? Kwa hiyo overweight wameitoa mbinguni?
Ukiangalia mataifa na watu walionenepeana hovyo Duniani utakuja kutuweka sisi waafrika na kula yetu ya hovyo unayoisema?
Shuleni mnasoma nini siku hizi? Yaani sample size ya watu 2 tayari ushafanya conclusion? Aisee.
Sawa kabisa, umemalizaMind set...
Raised that way...
Discipline....
Ustaarabu....
Binadamu aliyefikia hatua ya kufanya kila kitu kwa kiasi ikiwemo chakula pia, ..... nashindwa kuelezea ila ni hatua flani ambayo wengine hawaiwezi.
Na inapendeza ikiwa self discipline.
Wazungu wanakula kiafya na kufuata taratbu za ulaji tofauti na waafarica
Utakuta mtu ana umri wa miaka 50,60,70 anakula milo 3 kwa siku sawasawa na Mtu wa umri wa miak 10,20
Mmeng’enyo wa chakula unapungua umri unapozidi kwenda na mwili wako lazima kuendana na mabadiliko ya chakula.
Kuna umri wa kula milo 3,2 na 1 kwa Siku ukiendana na kula matunda
Huyu mimiKwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala
Wanakula vyao hawaombi kwa mtuWaafrica wapi? Sema tu wasukuma wanakula sana acha janja janja
Kwani wazungu walishakuomba vyako?Wanakula vyao hawaombi kwa mtu
Kwani wasukuma washakuomba vyako?Kwani wazungu walishakuomba vyako?
Huna hata miezi miwili hapa JF, rudi facebookKwani wasukuma washakuomba vyako?
Waite kutokana na wanapotoka kama ni Americans au Europeans.Tuwaite jina gani ukitoa hilo mzungu? Maana wao wenyewe hawachukii kuitwa hivo
Nafkiri chakula ni kitu cha bei rahisi sana hapo nyumbani.Huwezi kula kama unao uhakika wa kula.
Hata watoto wanaosumbua kula ni wale kwao mambo safi uhakika.
Watoto wasiosumbua kula ni wale wasio na uhakika wa kula,sahani wanafuta.
sijui aliona wazungu wa Czech? Au jamaa hajui wazungu aliona Wanepal akadhani ni wazungu! Nimefanyakazi na Wamarekani, Waholanzi wanapiga menu kama hawana akili nzuri, masaa yote wanatafuna tu!Wazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?