Husiniondolee Mood & Husinipe Ugali

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Afrika bado tuna matatizo makubwa ya kuheshimu hisia za watu. Utakuta mtu anajua kabisa kwamba nikikwambia hili ama lile litakuondolea mood ila bado tu utamwambia.

Unaamka ukiwa na furaha, afya njema, mshahara umeingia, chakula kipo cha kutosha, una appointment na mtoto mzuri halafu ghafla tu kuna mtu anakuja na kukupa habari mbaya ambazo kwa hakika ni lazima zitakuondolea mood.

Hakuna kitu naheshimu kama mood ya mtu, ni bora una jambo la mtu fulani ukamwambia usiku, unajua ni kweli atakuwa kwenye hali mbaya ila kwa kitendo cha kulala tu na kuamka kila kitu kitakuwa kimekwisha. Ila asubuhi na mapema unampa mtu habari ya kumuondolea mood, unategemea nini kitatokea katika siku yake nzima?

Kuna mambo kwa Afrika tunayachukulia poa sana lakini kwa kweli yanaumiza. Wakati wa kula si wakati wa kusemana, mtoto amekosea, ni afadhali umseme baada ya kula, usijaribu kumsema mtoto kabla ya kula ama wakati wa kula.

Kuna kesi yake kubwa, unataka umseme, subiri amalize kula kwanza. Wazazi wengine wakati wa kula ndiyo muda wa kusomeana kesi, si jambo zuri, wakati wa kula acha mtu ainjoi halafu akishashiba sasa tuanze kuzungumzia kesi yetu.

Umefuma meseji za mapenzi, usimwambie mpenzi wake ama mume kabla ya kula. Kwanza kuleni, wote mshibe halafu sasa anza kufukua makaburi. Makaburi hayatakiwi kufukuliwa wakati wa kula.

Wabongo hatunaga hata muda wa kuheshimu chakula. Mara nyingi sana nikiwa nakula huku naangalia muvi, simalizi chakula, na huwa siinjoi kabisa. Chakula kinahitaji utulivu sana. Pakua chakula chako, anza kula huku ukifanya mambo mengine, hutokula sana na wala hutokiinjoi chakula chenyewe.

Wazee walituambia wakati wa kula, hakuna kuongea, inabidi akili yako iwe kwenye chakula tu. Wanakwambia hivi kwa sababu wanajua haya yote, ili ukiinjoi chakula, mezani achana na mambo mengine, simu weka pembeni na hakuna kuongea wakati wa kula.

Kuna mambo mengi yapo hovyo sana. Mtu ameamka asubuhi, anakuja kukugongea asubuhiasubuhi kukwambia ama kuhitaji kitu ambacho hata mchana angekipata. Afrika hatuheshimu watu, hatuheshimu afya zao, usingizi wao, hatuheshimu mambo yao.

Ni mara ngapi umesema kesho utalala sana kwa kuwa uko free ila ghafla tu jamaa anakuja kukugongea hodi asubuhi sana? Afrika tupo hivyo, hatuna muda wa kupumzika hata kidogo. Sisi hatulali bali tunapumzisha mwili kwa masaa machache sana.

Pamoja na umasikini mkubwa, tunatakiwa kulala jamani. Ufanisi wa kazi unapungua kwa sababu hulali, unatembea na usingizi mwingi sana. Unaumwa magonjwa kwa sababu hulali. Sawa na yule mzee aliyepelekwa Marekani na mtoto wake kuishi, alipoumwa na kupelekwa hospitalini akaambiwa tatizo kubwa ni kwamba hakuwa anakula.

Mzee alikuwa na njaa! Njaa ambayo hakuwa anaiona, mwili wake haukuwa na chakula. Waafrika wengi hatuli, tunakula kushiba lakini si kula kwa sababu ya mwili wako.

Unakula ugali! Chakula ambacho mwilini mwako hakiongezi chochote kile. Tunadanganyana kuutetea ugali kwamba unaongeza nguvu! Nguvu gani ugali umewahi kuongeza? Ugali unaongeza nini mwilini mwako? Unajaza tumbo ila baadaye ukipimwa unaonekana mwili wako haukuwa na chakula.

Majuzi wakati nakula chipsi banda la mpira, jamaa akaniambia nile ugali. Nikamwambia kwa nini nile ugali? Akasema ili niwe na nguvu. Nikamwambia tukimchukua mla ugali, mchezaji wa Kitanzania na tukamuweka na Halaand mla chipsi mayai nani atakuwa na nguvu?

Tunautetea sana ugali, chakula ambacho hakiliwi kwa wenzetu kwa kuwa wanajua hakiongezi chochote mwilini. Chakula ambacho hata kwa Kiingereza kinabaki hivyohivyo, ugali.

Bro! Tafuta pesa, ugali ni chakula cha kula kwa hamu tu na si kuwa kwenye ratiba. Ule ugali ukiwa na hamu na si kiwe kwenye ratiba. Utafiti wa chuo kimoja Kenya nadhani kiligundua matatizo mengi ya Kiafrika akilini yanatokana na ulaji mkubwa wa ugali, akili haipati nguvu.

Bro! Nikwambie jambo moja tu. Kila chakula kina kazi yake mwilini. Kuna vyakula vya kuboost ubongo wako, kuna vyakula vya kulainisha tumbo lako, kuna vyakula vya kukuza kumbukumbu zako, kuna vyakula vya kuongeza nguvu za kiume, kuna vyakula vya kuongeza nguvu za mbegu zako. Kuna vyakula vya kila aina, ila ugali haupo sehemu yoyote ile.

Bro! Muombe Mungu, siku ukipata pesa achana na suala la kula maugali. Bro! Hii siyo meme, huu ni ukweli wa mambo, jitahidi hata watoto wako wasizoee kitu kiitwacho ugali.

Ukiwaangalia watoto wa kishua, tunasema wana miili mikubwa, mtoto mdogo ukimwangalia ni kama mtu mzima kwa namna alivyo na mwili, bro! Ule sio ugali ndugu yangu, vile ni vyakula vinavyotakiwa kuliwa. Jiangalie, unadhani huo ni mwili uliotakiwa kuwanao? Mwangalie mtoto wako, unadhani huo ndiyo mwili aliotakiwa kuwanao?

Tunasema Wazungu wana akili sana, wana miili mikubwa, sijui mtoto wa miaka 10 ni tofauti na hawa wa kwetu waliodumaa, bro, jambo la kwanza kwa wenzetu wanazingatia vyakula, hawali ilimradi wanakula.

Huku Bongo mtu atakula ugali mchana na ugali usiku. Kwa siku hujaingiza hata protini mwilini mwako. Kwa hapa Afrika, hakuna kitu ambacho ni kigumu sana kwetu kama kuingiza protini mwilini.

Hatunywi maziwa kwa wingi, hatuli karanga wala korosho kwa wingi, hatuli tende, yaani vyakula vya protini vimetupitia kushoto kabisa, halafu hapohapo tunataka tuwe na miili mikubwa na yenye nguvu kama wenzetu...tutaendelea kusikia kwenye bomba tu.

Nataka nikwambie nini? Ukipata pesa achana na mambo ya kula ugali. Ukipata pesa jitahidi sana mwili wako upatiwe vyakula vya protini, hivyo ni muhimu mno. Ni muhimu kwa mwili wako na hata mbegu zako za kiume. Ukikosa protini ya kutosha, utakuja kupata watoto wenye matatizo katika ukuaji ama matatizo miilini mwao.

Bro! Mtume Muhammad alikuwa anakunywa maziwa na kula tende, Waarabu wanatafuta sana protini kuliko vyakula vingine kwa sababu aina hiyo ya vyakula ni bora sana mwilini mwako.

Braza kama unakula chakula ambacho kwa Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu ama Kichina hakijulikani, achana nacho. Utakuza taifa lililodumaa.

Ukishasort out mambo ya maugali, sasa ingia kwenye masuala ya kuoga. Uwe unaoga, kwa sasa hivi huogio, unajimwagia tu maji na sabuni. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa ananipa ushuhuda, yeye alishinda ile green card ya kwenda Marekani kuishi. Sasa siku ya kwanza kuingia kwenye lile sinki kubwa kuoga, anakwambia maji yalikuwa machafu sana, yaani machafu mno mpaka akawa anajionea aibu.

Suala la huku tunaoga lakini tunatumia sabuni ambazo hazisaidii lolote kwenye ngozi zetu. Kwa kawaida ngozi yako imepigwa sana na vumbi, vinyweleo havipumui, sasa kuna sabuni maalumu za kuogea ambazo zitaanza kuzibua vitundu vya mwili wako.

Mtu akienda Ulaya na akirudi tunasema jamaa ametakata, kwa nini wewe hutakati? Ni kwa sababu huogfi, huwa unajimwagia maji tu. Ukipata pesa, bro, anza kuoga. Wewe si mweusi tiiii kama unavyojiona, una rangi nyingine nzuri tu, ngozi yako ni ya kung’aa sana. Umezaliwa, wiki ya kwanza unaonekana mtoto mwenye ngozi nzuri, rangi imetulia ila baada ya kupigwa na vumbi tu, kila kitu kinabadilika.

Jitahidi kutafuta pesa ili uoge, jitahidi kutafuta pesa ili ule. Ugali haukuongezei chochote mwilini. Msidanganyane! Mwili wako unahitaji sana protini ili ukue na kunawiri.
 
Huthinithubue muhandiko wako wa mcharatho humechatha thana
 
Umetoka kwenye kuharibiana mood hadi kuusimanga ugali. Mbona hamna correlation hapa?
 
Ngoja wasukuma waje hapa uwaeleze ni kwa nini unausimanga ugali wao...
 
Njaa buana..... Huu muda ulotumia kuandika Uzi ungeshatafuta ugali ukala ukalala.
 
Unakula ugali! Chakula ambacho mwilini mwako hakiongezi chochote kile. Tunadanganyana kuutetea ugali kwamba unaongeza nguvu! Nguvu gani ugali umewahi kuongeza? Ugali unaongeza nini mwilini mwako? Unajaza tumbo ila baadaye ukipimwa unaonekana mwili wako haukuwa na chakula.
  • Madai kwamba ugali hauongezi chochote mwilini si sahihi kabisa. Ugali una faida nyingi ikiwemo kuongeza nguvu kwa kuwa una carbohydrates. Lakini ni kweli kwamba huhitaji kula vyakula vingine ili kupata virutubisho kamilifu.
    1696333059933.png
    Kwako mleta mada: Bado hujamshawishi aliye uandaa huu ugali kwa hoja yako!
 
  • Thanks
Reactions: _ID

Sabuni gani ya kuogea mkuu?
 
Back
Top Bottom