MCHUNGUZI HURU ile id ya kike imekuaffect sana eeh!!!??....mada imekosa wachangiaji kabisa........
Nmekaa na wazungu kwa muda; wazungu wengi hawapendi sehemu zenye kelele nyingi. Na ukiangalia k.koo kelele zmejaa!
wadau,
huwa najitahidi sana kuzunguka sehemu mbali mbali hapa dar na nje ya dar pia katika shughuli zangu binafsi lakini katika kuzunguka kote naona wanaofungua maduka ya nguo, stationary, spea za magar nk.. Ni wahindi, waarabu na wachina.
Yawezekana wapo lakini sijawahi kuwaona na hata kama wapo basi ni wachache saaana. Swali, ni kwanini wazungu hawafungui maduka???
Ukiangalia wazungu wengi waliopo nchini ni either wameajiriwa au wana kampuni zao wenyewe.
Nimejiuliza sana, nikaja na jibu moja nawewe utatoa mtizamo wako.
1. Nchi nyingi za ulaya hazina maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.
Kwanini wazungu hawana maduka kariakoo?
Dr. mchunguzi huru (phd)
Nahisi hua wanakoma huku kwa kelele maana bongo kwa kelele kila sehemu bar halaf zina band weeee
Nahisi hua wanakoma huku kwa kelele maana bongo kwa kelele kila sehemu bar halaf zina band weeee
Huo ni muziki na siyo kelele
dk hivi ni kwanini wazungu awana kigugumizi kama
aaaaaaaah aaahhhhhh lavvvvvvvvv yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wadau,
Huwa najitahidi sana kuzunguka sehemu mbali mbali hapa Dar na nje ya Dar pia katika shughuli zangu binafsi lakini katika kuzunguka kote naona wanaofungua maduka ya nguo, stationary, spea za magar nk.. ni wahindi, waarabu na wachina.
Yawezekana wapo lakini sijawahi kuwaona na hata kama wapo basi ni wachache saaana. Swali, ni kwanini wazungu hawafungui maduka???
Ukiangalia wazungu wengi waliopo nchini ni either wameajiriwa au wana kampuni zao wenyewe.
Nimejiuliza sana, nikaja na jibu moja nawewe utatoa mtizamo wako.
1. Nchi nyingi za ulaya hazina maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.
KWANINI WAZUNGU HAWANA MADUKA KARIAKOO?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Wataweza kumiliki misukule? maana kariakoo bila msukule haujauza