Kwanini Wazungu hawafungui maduka Kariakoo?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Wadau,

Huwa najitahidi sana kuzunguka sehemu mbali mbali hapa Dar na nje ya Dar pia katika shughuli zangu binafsi lakini katika kuzunguka kote naona wanaofungua maduka ya nguo, stationary, spea za magar nk.. ni wahindi, waarabu na wachina.

Yawezekana wapo lakini sijawahi kuwaona na hata kama wapo basi ni wachache saaana. Swali, ni kwanini wazungu hawafungui maduka???

Ukiangalia wazungu wengi waliopo nchini ni either wameajiriwa au wana kampuni zao wenyewe.

Nimejiuliza sana, nikaja na jibu moja nawewe utatoa mtizamo wako.

1. Nchi nyingi za ulaya hazina maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.

KWANINI WAZUNGU HAWANA MADUKA KARIAKOO?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu kule kwenye movie zao tunaona mitaa yao haya na maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.
 
Wameona wabongo wazushii utakuta wanafungua kwao
 
Swali zuri sana naomba tulitazame kwa upana, nadhani Culture inachukua sehemu kubwa, pili economic evolution yao na yetu ni tofauti sana hata ya asia pia, Tatu Technological change/develpments
 
Waswahili,wahindi ,waarabu,tunafanya biashara kwa kuigana .
Kwa mfano
ukiona fulani anauza juice na inamlipa na wewe utataka kuuza juice,kwa mzungu ni tofauti yeye atakwenda kulima matunda ili akuuzie wewe muuza juice.
Tanzania wazungu wanafanya biashara sana iringa wapo lakini hutawaona mjini mambo yao yanaishia mashambani kwao, wanamiliki mpaka ndege
 
Wadau,

Huwa najitahidi sana kuzunguka sehemu mbali mbali hapa Dar na nje ya Dar pia katika shughuli zangu binafsi lakini katika kuzunguka kote naona wanaofungua maduka ya nguo, stationary, spea za magar nk.. ni wahindi, waarabu na wachina.

Yawezekana wapo lakini sijawahi kuwaona na hata kama wapo basi ni wachache saaana. Swali, ni kwanini wazungu hawafungui maduka???

Ukiangalia wazungu wengi waliopo nchini ni either wameajiriwa au wana kampuni zao wenyewe.

Nimejiuliza sana, nikaja na jibu moja nawewe utatoa mtizamo wako.

1. Nchi nyingi za ulaya hazina maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.

KWANINI WAZUNGU HAWANA MADUKA KARIAKOO?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

wenzetu wamepiga hatua kubwa sana katika uwekezaji.sio kama sisi,wachina,wahindi nk.huwa wanapigia hesabu gharama nzima za uwekezaji.mfano,kama atafungua duka kariakoo la spea,atalipa kodi,ataajiri au hata akikaa yeye atapiga hesabu za kujilipa mshahara kwani hapo yuko kazini.akiona anafanya kazi muda mrefu(asubuh-jioni) hadi muda wa kufunga duka halafu faida ni laki 5 kwa mwezi,hapo anahesabu hasara.kwani ana imagine angekuwa amemuajiri mtu na anamlipa mshahara baada ya kutoa huomshahara atabaki na kiasi gani?mfano,kwa laki 5 faida atoe mshahara wa mtu laki 2,anabaki na laki 3.anaigawanya hiyo laki 3 kwa siku 30 za mwezi anapata elf 10.so kwa mtaji aliowekeza mfano milion 5 kwa kuingiza elf 10 kwa siku ni sawa na hasara.milion 5 izae elf 10 tu kwa siku?hiyo ni hasara kubwa sana.so wenzetu hata kama atasimamia yeye mwenyewe lazima apige na gharama za yeye kujilipa kitu ambacho sisi hatufanyi.so wenzetu wana hesabu kali sana katika kuwekeza.wanafanya vitu vinavyowalipa ndo maana hukuti wanahaha na vibiashara mshenzi
 
Unalinganisha PRODUCERS na CONSUMERS.

wazungu ni wavumbuzi. wabunifu, watengenezaji lakini unaowalinganisha nao ni watumiaji.
 
Kwa sasa sio siri ukitembea sehemu nyingi za Tanzania kuanzia Dar -es-salaam na sehemu nyinginezo utagundua mzawa amechachamaa zamani maduka mengi yalikuwa ya wahindi, waarabu sasa hivi angalia sehemu kama Tanga, Moshi, Dar na kuendelea utagundua biashara za maduka wamiliki wengi wa sasa ni tofauti na nliowataja
 
wazungu wanamiliki maviwanda makubwa, mahoteli mkubwa n.k. maduka ya kichuuzi ni wahindi na wachina
 
Wadau,

Huwa najitahidi sana kuzunguka sehemu mbali mbali hapa Dar na nje ya Dar pia katika shughuli zangu binafsi lakini katika kuzunguka kote naona wanaofungua maduka ya nguo, stationary, spea za magar nk.. ni wahindi, waarabu na wachina.

Yawezekana wapo lakini sijawahi kuwaona na hata kama wapo basi ni wachache saaana. Swali, ni kwanini wazungu hawafungui maduka???

Ukiangalia wazungu wengi waliopo nchini ni either wameajiriwa au wana kampuni zao wenyewe.

Nimejiuliza sana, nikaja na jibu moja nawewe utatoa mtizamo wako.

1. Nchi nyingi za ulaya hazina maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.

KWANINI WAZUNGU HAWANA MADUKA KARIAKOO?

Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

kweli wewe mkuu ni MchunguZI hata mimi m,aisha yangu yote na kukuru kakala zangu sehemu mbali mbali hapa Tz na kwa jirani zetu katika jumuia ya Afrika mashariki (#EAC) sijawahi kuta mzungu Muuza #duka kama walivyo wach Ina, mwaa RABu , etc.
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu kule kwenye movie zao tunaona mitaa yao haya na maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.

eti mkuu miss chagga Ni kweli kuwa hawajazoea tu au kuna sababu nyingine inayopeleka hivyo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom