masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Jiulize na utapata jibu tu, haihitaji skili sana kung'amua.Wadau,
Huwa najitahidi sana kuzunguka sehemu mbali mbali hapa Dar na nje ya Dar pia katika shughuli zangu binafsi lakini katika kuzunguka kote naona wanaofungua maduka ya nguo, stationary, spea za magar nk.. ni wahindi, waarabu na wachina.
Yawezekana wapo lakini sijawahi kuwaona na hata kama wapo basi ni wachache saaana. Swali, ni kwanini wazungu hawafungui maduka???
Ukiangalia wazungu wengi waliopo nchini ni either wameajiriwa au wana kampuni zao wenyewe.
Nimejiuliza sana, nikaja na jibu moja nawewe utatoa mtizamo wako.
1. Nchi nyingi za ulaya hazina maduka ovyo ovyo kila mtaa. Unaweza kukuta eneo kama Mwenge nzima ina super market mbili au tatu na hakuti maduka mengine mtaani hivyo swala la kufungua fungua maduka hawajazoea.
KWANINI WAZUNGU HAWANA MADUKA KARIAKOO?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Kwa nini wazungu hawapangi nyumba Manzese kwa mfuga Mbwa, au kuleTandale, au Mbagala Maji Matitu?
Fikiria sana, jibu utapata tu!