Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Au mwana mfalme wa Saudia a.k.a. Mzee wa kuchinja.Haswaa.. Au al bashir hamuoni?
boya kweli weweSababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hebu ngoja kwanza...
Jiwe[emoji22]
Bashite[emoji22]
Jerry Muro[emoji22]
Chalamila[emoji22]
Ndugai[emoji22]
Musiba[emoji22]
.
.
.
Hoja ya kijinga sana ila inaleta maana.Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Point, shida ya sisi wakristu tunaweka sana mbele matumizi ya nguvu,Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Kuna kitu mnashindwa kuelewa.Point, shida ya sisi wakristu tunaweka sana mbele matumizi ya nguvu,
Tatizo lake sio mwongeajiViongozi wengi wa awamu ya tano wamekuwa wakitoa matamshi yasiyo na hekima wala busara, lakini Waziri Mkuu kwa kiasi kikubwa ameweza kuzilinda hisia zake na kudhibiti ulimi wake.
Ameweza pia kuwavumilia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao wamekuwa wakienenda kinyume Cha maadili ikiwemo kimatamshi na Sasa mavazi.
Pamoja kulinda ulimi wake ameweza kuonyesha utumishi Bora na hata maelekezo yake yanaheshimika na kutekelezwa kuliko hata ya wale wanaotumia lugha chafu na za udhalilishaji.
Kongole Kassim Majaliwa
Hoja ya kijinga sana ila inaleta maana.
Lakini itakua ni coincidence tu.
Wakati wa Mwl. walokuwepo wanasema mambo yalikua tight sana.
Akaja mzee Ruksa hali ikawa nafuu.
Akaja Benja hali ikawa tight tena ( hapa NBC ikauzwa)
Akaja Mzee wa Msoga nafuu ikapatikana japo wajanja walifaidi sana.
Akaja bwana yule( huyu sitaki kumzungumzia maana hata Mdude hajapona)[emoji23][emoji23][emoji23]
HinduHappy ni Budha?
Kuna kitu mnashindwa kuelewa.
Ni kwamba kwa historia ya waislam wengi kuchelewa kupata elimu, ukilinganisha na wakristo, hii imefanya muislam yeyote katika ngazi flani kukosa backups(minazi), hivyo husimamia haki na sheria akiamini endapo ataharibu, hakuna wa kumkingia kifua.
Tofauti na wakristo ambao ubakuta yuko sehemu flani, ila mjomba ni mkurugenzi sehemu, baba mdogo ni waziri, shangazi ni katibu. Nk.
Kweli kabisa hata makamu yuko vizur hajitutumui kama hawa wengine aisee saruti kwao wamemzidi hata mkuru wa kaya.Huyu mtu amebarikiwa busara na ana taranta ya uongozi, hata makamu yuko vizuri sana
Sababu ni muislam,Fanya tafit waislamu huwa Na hekima ya uongozi kuliko wakristo
Seleman Jaffo yuko vizuri sana ni Hazina kuu ya ccm wa kesho,asilewe tu.Wengi umsema Kwa wema.Kweli kabisa hata makamu yuko vizur hajitutumui kama hawa wengine aisee saruti kwao wamemzidi hata mkuru wa kaya.
Inamana hao wakuu wa mikoa, mawaziri, wakuu wa wilaya wao sio wateuliwa na mkuu wa kaja mbona tunawaona wanatoa matamko na kauli mbaya zisizo na tija hata kuleta mitafaruku kwenye jamio mbona hawaogopi kutimumliwa!!??Kwa katiba ya nchi hii - Waziri mkuu ni sawa na Remot Control hawezi fanya maamuzi bila mshika Remot - Rejea sakata la Korosho😎
Wanasema eti ni mtu wa bara.watu wa pwani wana shida sana aiseeUsiende mbali mkuu ...Ally Hapi ni mkristo?