Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,795
- 28,451
Mkuu nakuomba ufanye hivyo, nami ni miongoni mwa watu ninao amini kabisa historia ya mtu mweusi imechezewa.Mkuu hii itahitaji kuandika thread
Mkuu nakuomba ufanye hivyo, nami ni miongoni mwa watu ninao amini kabisa historia ya mtu mweusi imechezewa.Mkuu hii itahitaji kuandika thread
Kuendelea kwa Taifa la china kumetokana na sababu za balance of power duniani! na hii ilikuwa ni moja ya mikakati ya kupunguza nguvu za urusi na sio sababu ya kujali muda.Africa ndo sehemu pekee duniani ambayo utakuta mtu amekaa anasema "napoteza poteza mda hapa ifike saa kumi nikaangalie simba na yanga" hahaha wachina wametusikia sasa wanakuja kwa kasi ya ajabu mpaka maandazi wanauza
swali zuri,lakini tujiulize ni kwa nini hao wakoloni walitoka huko ulaya na kuja kututawala sisi na sio sisi kwenda kao.Fine, tuliletewa elimu ili tuendelee kuwa vibaraka na tuendelee kutawaliwa; Je ni miaka mingapi tangu mkoloni aondoke?
Tumefanya Nini ktk elimu ili kuondoa makando kando aliyopandikiza mkoloni?
kuna njia wanazotumia,ila njia nzuri ni ugunduzi wa vitu au mambo mbalimbali yanayofanywa hapa duniani.Kwani IQ kuwa ndogo au kubwa...inapimwa au kujulikana kwa vigezo gani.?
Sasa utafiti afanye mtu mweupe then unategemea nini? Hakuna ukweli hapo kwenye iq mana utafiti wanafanya wenyewe tena kwa vigezo vyao.Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD
yes exactly,kama tungekuwa sawa hii mada isingekuwepo sa hivi pia tusingekuwa tunadharauliwa na wenzetu kama anavyosema mtoa mada.Like serious!?
Kwa maana nyingine una sema hivi "watu weusi kuwa na IQ ndogo ni Mungu ndie alipanga"
Na moja ya maeneo wanayaokula sana ugali kanda yetu ile/bangosha unamaaaana hata...... naye ana IQ ndogo.wenzetu hawali ugali kama sisi....
Na moja ya maeneo wanayaokula sana ugali kanda yetu ile/bangosha unamaaaana hata...... naye ana IQ ndogo.
ni kweli kabisa creation na innovation ndio kipimo cha IQ . Huwa kuna kitu nakifikiri bila majibu wanasayansi wanasema IQ za mtu zinatoka kwa Mama na sio Baba lakini katika creation na innovation za mambo na vitu mbalimbali duniani asilimia 98 zimegunduliwa na Wanaume nasio wanawake,swali ni ama IQ hizo zinztoka kwa wanawake ni kwa nini wao wasiongeze kwa gunduzi hizoIq haipimwi kwa kazi za mazoea
Bali uwezo wakufikiri na kugundua jambo jipya
Uwezo wakufikiri ni tofauti uwezo wakukumbuka
Unaweza ukawa unapata alama kubwa kwenye mtihan kwa uwezo mkubwa wakukumbuka jambo ambalo mwenzio ndio aliligundua
( iq inaendana na mambo ya creation na innovation)
yes exactly,kama tungekuwa sawa hii mada isingekuwepo sa hivi pia tusingekuwa tunadharauliwa na wenzetu kama anavyosema mtoa mada.
ni kweli kabisa creation na innovation ndio kipimo cha IQ . Huwa kuna kitu nakifikiri bila majibu wanasayansi wanasema IQ za mtu zinatoka kwa Mama na sio Baba lakini katika creation na innovation za mambo na vitu mbalimbali duniani asilimia 98 zimegunduliwa na Wanaume nasio wanawake,swali ni ama IQ hizo zinztoka kwa wanawake ni kwa nini wao wasiongeze kwa gunduzi hizo
IQ na elimu vina uhusiano wa karibu sana. Elimu duni inachangia sana kuendeleza kizazi cha watu wenye IQ ndogo.IQ na Elimu kipi ni kipi
IQ ndogp: nakufanya usiweze kujitambua na kuyatambua mazingira yako
Mkuu mda wote ww n siasa tu...hil taifa limeshakosea tangu Zaman.....tungeanza na kusafsha bunge hakika haya mambo mengne yangekua smooth... Wabunge wetu kwa sasa walipaswa wawe na degree na sio form 6 au kujua kusoma na kuandika...huu u mungu mtu unatokea kwa sababu ya bunge letu kuwa na zero brain...watajadil nn zaid ya udaku kama Elim n zero...? Kwa styl wacha tusubil miaka 100% mingneSidhani kama tuna IQ ndogo. IQ zetu ni kubwa sana tatizo zinaonekana ndogo kwasababu ya wachache waliopata nafasi kuwa na roho mbaya iliyopitiliza. Roho mbaya za wivu na visasi vinafunika ukubwa wa IQ zetu...
Mfano halisi ni hapa kwetu nyumbani... watu kama @munguwaDar a.k.a DB anaweza kufunika ukubwa wa IQ za watu milioni 4 wa Dar kwakuwa tu amepata nafasi ya kuonesha ubandidu wake hadharani...
Na huo ni mfano mmoja tu, kama si mambo ya kufanywa kama Lema, ningemtaja na mwingine tena... Lakini naogopa bwana yule si wa kujaribiwa.
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD
hivi unaelewa kwamba study ya mwaka jana ilionyesha the most intelligent person duniani ni mtu mweusi, na alitokea Nigeria?Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD
Labda tuwekane sawa nini IQ.Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD