Bhampupile
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 810
- 637
Kwa sbb sisi weusi tunapenda Ku deal na mambo mepesi mepesi kama vile kujadiri kwa muda mrefu CV ya MAKONDA wakati wenzetu huwa wanajadiri na kuyapatia ufumbuzi mambo mazito mazito sisi muda wote mawazo yetu yapo kwenye kujadili Papuchi na Chura tu.Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.
YOUNGBLOOD