Kwanini watu weusi wana IQ ndogo sana?

Baada ya wakoloni kuondoka ikafuata Nyerere kuhakikisha hapinduliwi, watu hawalali njaa, umoja, huku akiwa hayupo tayari kuufuata ubepari.
Sera za ulimu za kipindi hiko hazikua na msaada mpaka leo usimamizi na utekelezaji wa sera za elimu ni mtihani.

Yaani ni kama tumeamua tuwe tunafanya 'trial and error' katika elimu yetu, hapo ndipo tumekwama miaka yote kwakua hatujapata wa kuendeleza alichoacha mwenzake kila mmoja anakuja na jipya.
Kumbe! Hii ni ktk Tanzania Je, ktk nchi nyingine zenye blacks Nini tatizo la kuwa na IQ ndogo?
 
Mi yangu sio ndogo bana. Nimesoma na wazungu nlikuwa nawazidi chuoni tena kwa lugha ya kwao ninesoma pia na wahindi wao wana akili kuliko wazungu ila na wao tulipelekeshana
 
Kumbe! Hii ni ktk Tanzania Je, ktk nchi nyingine zenye blacks Nini tatizo la kuwa na IQ ndogo?
Naona tuna tatizo linalofanana la kuukumbatia mfumo ambao siyo rafiki kwa Afrika hivyo kushindwa kuitumia hiyo elimu katika mazingira yetu.
Mfano Nigeria wana vyuo vikuu vingi hivyo watu wengi huhitimu lakini bado ugunduzi na uvumbuzi wa maswala mbali mbali bado wanaachwa mbali
 
Kuna ukweli fulani mkuu Castr. Asante.
 
Hizi sababu hazina mashiko kwenye ugali unaopikwa kutumia mahindi tunaangalia kwenye mahindi kuna vitamini gani???
Hata hao mnaosema hawali ugali lakini wanakula vyakula vingine vinavyotengenezwa kutumia mahindi
Sio kila sehemu wanatumia mahindi apa Tanzania kama chakula kikuu. Baadhi ya watu wanakula mara moja kwa wiki, na hawatumii vyakula vinavyotokana na mahindi zaidi ya ugali. Marekani wanatumia kama chakula cha ng'ombe.
 
IQ za ngozi nyeus ipo juu sana, ujue bhana kama hujawi kufanya kazi na hawa wazungu unaweza kuwa wana uwezo mkuuuubwa, kumbe hawana lolote, tuacheni kujidharau dharau, black people blessed,
Tatzo la afrika hususan Tz n kubanwa kwa IQ za watu, unaweza ukaona MTU ana kipaji Fulani,badala ya kumwendeleza
 
Lini mtu mweupe akamwandika positive mtu mweusi,mimi nafanya nao kazi mda wote lakini naona IQ yao na yangu haipishani maana kuna vitu wanashindwa wanaitaji pia msaada wangu pia Mimi kuna vitu vinagoma naitaji msaada wao
 
Hiyo research ya kupima IQ inauliza maswali gani na watu wa elimu ipi? Ujinga au kutokufahamu majibu fulani siyo kigezo cha kuwa na IQ ndogo. Maswali yanayoulizwa wakati wa kupima IQ hayana uhusiano wowote na Africa. Kujua rais wa kwanza wa Marekani inahusiana vipi na IQ ya Mtanzania?
 
Wadau naomba tujuzane ni kwanini sisi watu weusi IQ zetu ni ndogo sana kuliko hawa wenzetu wenye ngozi nyeupe? Je ndiyo jinsi mwenyezi mungu alivyotuumba au aina ya maisha yetu tunayoishi ndiyo chanzo?
Au kama kuna sababu zozote za kisayansi naomba tujuzane.

YOUNGBLOOD
1cc6d28eb8e235a7d8aec86c58ca57f3.jpg

hakuna MTU mwenye akili kuliko mwingine, tafiti hizo zinalenga kuwakatisha tamaa waafrika!!! mbona walipokuja tulikuwa na maendeleo sawa, kwann walianza na kuua viwanda vyetu?. kinachotuponza Africa ni kuchagua mafisadi, ndio wengi wanaowazunguka hata viongozi kwenye nia Wa kuwaletea wananchi maendeleo, unatarajia nini!!!

kila mahali ilikuwa ni dili, unatarajia nini!?
 
Hiyo research ya kupima IQ inauliza maswali gani na watu wa elimu ipi? Ujinga au kutokufahamu majibu fulani siyo kigezo cha kuwa na IQ ndogo. Maswali yanayoulizwa wakati wa kupima IQ hayana uhusiano wowote na Africa. Kujua rais wa kwanza wa Marekani inahusiana vipi na IQ ya Mtanzania?
Zipo standardized universal tests zinazotumika kuangalia IQ za binadamu wote duniani,kama umesoma research nadhani utakuwa umenielewa ninachokiongelea hapa.
 
Lini mtu mweupe akamwandika positive mtu mweusi,mimi nafanya nao kazi mda wote lakini naona IQ yao na yangu haipishani maana kuna vitu wanashindwa wanaitaji pia msaada wangu pia Mimi kuna vitu vinagoma naitaji msaada wao

Iq haipimwi kwa kazi za mazoea
Bali uwezo wakufikiri na kugundua jambo jipya
Uwezo wakufikiri ni tofauti uwezo wakukumbuka
Unaweza ukawa unapata alama kubwa kwenye mtihan kwa uwezo mkubwa wakukumbuka jambo ambalo mwenzio ndio aliligundua
( iq inaendana na mambo ya creation na innovation)
 
Lini mtu mweupe akamwandika positive mtu mweusi,mimi nafanya nao kazi mda wote lakini naona IQ yao na yangu haipishani maana kuna vitu wanashindwa wanaitaji pia msaada wangu pia Mimi kuna vitu vinagoma naitaji msaada wao

Pia mkuu shida yetu tunapenda vitu vinavyo leta raha kichwan na tumbon sio kutumia akili zetu katika mambo ya ugunduzi wa njia sahih zakuboresha maisha (science and technology)
Utakuta webpage zetu kama jf 40% mada za siasa 40% mada za mapenz/ngono 20% mengineyo ikiwa na mambo ya ugunduzi
Na sio tanzania tuu bali mataifa mengi ya kiafrica
 
Tatizo letu waafrika tuna ubinafsi.Mtu anajipenda yeye mwenyewe.tunachujiana. hatunaushirikiano.Ndio maana IQ zetu ndogo.Kama tungekuwa kila mmoja anampenda mwingine (kumtakia mafanikio mwingine),kungetufanya tuwe na ushikiano.Leo waafrca tungekuwa tumefanya mambo mkubwa ya maana.Tuna ubabe wakijinga.
 
Me hua naamin ivo, sijui kama nakosea labda... Naamin lazima kuna kitu kianze juu na tukione kilichopo chini, naamin tunaposema mjanja lazima kuna mjinga, tunaposema kashinda lazima kuna ambae kashindwa, tungekuwa wote sawa sidhani kama maisha yangekuwa maisha... Utanikosoa kama nakosea

Maadamu umesema una amini basi hata siwezi nikakukosoa sababu maana ya kuamini ni ku accept uwepo wa kitu flani pasipo kuwa na uthibitisho wa uhakika wa uwepo wa kitu hicho.

Hivyo basi kwa sababu sisi tuna IQ ndogo hatujui sababu ni kwanini ila tuna amini tu, na hao waliotuzidi IQ hatujui ni kwanini wametuzidi ila tuna amini tu.

Ila tu ni kwambie kitu hizi mambo mambo za kuamini amini tu ni moja wapo ya sababu ni kwanini sisi weusi tuna IQ ndogo kulinganisha na watu wa races zingine kwa sababu ni mzizi wa laziness.
 
Back
Top Bottom