Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,624
- 77,869
Wachina walivuka na matatizo mkuu.Sera za viwanda zilifanikiwa.tulikuwa mpaka spare za magari tunachonga.viwanda Mangula,kiltex,uda na kadhalika.tena vilizalisha kwa miaka mingi tuu.Wachina wameweza vuka toka mfumo mmoja kwenda mwingine bila matatizo.Sisi tumeharibu katika kumvuka toka socialism kwenda ubepari.tumeshindwa kutumia mtaji wa wanzilishi.kuna W atakaosema Nyumba ulianza kumporomokea mjengaji,kuna ukweli lakini alituonyesha kuwa Penye nia kuna njia.
Ile big leap forward ilikula sana nguvu kazi maana baa la njaa liliteketeza maisha ya wengi.
Uimara wao ndiyo leo umewaweka pale.
Mla rushwa atanyongwa, mzembe atapata adhabu kali n.k