Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

Watu wa Dar waume kwa wanawake ni kama watu wa familia moja. Walio wengi wanaumbo mviringo kama kiazi ulaya!

Ningumu kujua kama mtu wa Dar anakwenda au anarudi, ngumu kujua mgongo ni upi na tumbo na kifua ni vipi .Miili Yao imeunganika kama matikiti maji.

Shida ni nini hapo Daslamu?

View attachment 3626377
😅😅 f**uck you nigga.
 
Hii ni bongo yote tena kwa wanaume na wanawake, na zaidi ni huko kaskazini, kwa kupenda kunywa bia na manyama nyama. Wakijazana kwenye madaladala, SGR na mwendo kasi utasema mapipa ya mafuta yamejaa kwenye meli yakikatiza kwenye mfereji Hormuz 😀 😀 😀 😀
 
Attachments

  • img_4_1783686378044.jpg
    img_4_1783686378044.jpg
    102.7 KB · Views: 8
Watu wa Dar waume kwa wanawake ni kama watu wa familia moja. Walio wengi wanaumbo mviringo kama kiazi ulaya!

Ningumu kujua kama mtu wa Dar anakwenda au anarudi, ngumu kujua mgongo ni upi na tumbo na kifua ni vipi .Miili Yao imeunganika kama matikiti maji.

Shida ni nini hapo Daslamu?

View attachment 3626377
Mbona mimi mwenyewe hata sijishangai? Na dada zenu wanatushobokea kama nini!
 
Hii ni bongo yote tena kwa wanaume na wanawake, na zaidi ni huko kaskazini, kwa kupenda kunywa bia na manyama nyama. Wakijazana kwenye madaladala, SGR na mwendo kasi utasema mapipa ya mafuta yamejaa kwenye meli yakikatiza kwenye mfereji Hormuz 😀 😀 😀 😀
Duh! hatari sana!
 
Back
Top Bottom