Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

Hawa wadada wanene na kina Niffer, Mobeto, Kajala nk. ndo the epitome of beauty in Tanganyika!

Na hivi vigen z vinavyobugia chipsi, unakakuta kana miaka 21 ila ni kamama!

GT najua ni vibaya kujadili miili ya watu ila sijisikii vizuri kabisa kuhusu hili.
Mkuu kusema ukweli madem kama hawa ni wazuri kweli kweli. Sasa unataka kusema madem kama princess Kate mke wa princess William ni mzuri. Eti waingereza wanaita huu ni urembo angalia tu hiyo miguu utadhani ya kware. Angalia hata tako hana.

Screenshot_20260705_211254_Chrome.jpg
Screenshot_20260705_211218_Chrome.jpg
 
Ujachukua tena German Shepherd mwengine?
Wewe jamaa unampenda sana mbwa wangu ,si upo mbele huko ? Nakuja mwezi ujao kaka nataka ninunue wawili nikifikq nitakucheki .

Vipi lakini kipenzi chetu alituasa nini kwenye suala zima la watu kuangalia mpira maana nataka nije kucheki fainali hapo kwa braza Trump
 
Hii ni Tanzania nzima, sio Dar tu.

Mtindo wa maisha ni wa kushindia nafaka kama wali, ugali na chapati.

Pirika pirika za utafutaji haziruhusu muda wa kufanya mazoezi. Pia hatuna utamaduni wa mazoezi.

Mwisho ni imani potofu kwamba unene ni "mwili wa kiutu uzima" na mwanamke mnene ni mrembo kwasababu ya makalio yake makubwa.

Ukifikisha umri wa makamo(35-50) bila kiriba tumbo una bahati.
Maisha ya Mtanzania ni gym tosha, unataka umuongezee na gym tena utamuua..

Ni kweli kwa kiwango kikubwa kuna mfanano wa mtindo wa maisha.. Lakini kuna utofauti...

Dsm kumejaa fast foods sana, na wenyeji ndio msosi wao official.. Dar wanawake wengi na wanaume wana vitambi, wanaume wamejazia na hips wanazo..
 
Mkuu kusema ukweli madem kama hawa ni wazuri kweli kweli. Sasa unataka kusema madem kama princess Kate mke wa princess William ni mzuri. Eti waingereza wanaita huu ni urembo angalia tu hiyo miguu utadhani ya kware. Angalia hata tako hana.

View attachment 3626390View attachment 3626391
Tako la nini, mrembo portable kabisa huyo, hata mkienda beach unambeba..
 
Mkuu kusema ukweli madem kama hawa ni wazuri kweli kweli. Sasa unataka kusema madem kama princess Kate mke wa princess William ni mzuri. Eti waingereza wanaita huu ni urembo angalia tu hiyo miguu utadhani ya kware. Angalia hata tako hana.

View attachment 3626390View attachment 3626391
Baaange mbaya eti "Princess William"
" aibu naona Mimi , Maarass !!!🤣 🤣 😂 😆☝️😁😆😅

Hiyo mibange unayovuuta ....... 😂
 
Back
Top Bottom