secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,752
- 47,605
Babu yako hadi leo niko fiti sana. Vijana fanyeni mazoezi. Kiepe ni kitu mbofu kwa afya zenu.Nitakuwa miongoni mwa watakaokuwa na miili fit kwenye 40's sio secretarybird
Babu yako hadi leo niko fiti sana. Vijana fanyeni mazoezi. Kiepe ni kitu mbofu kwa afya zenu.Nitakuwa miongoni mwa watakaokuwa na miili fit kwenye 40's sio secretarybird
Watu wananona kama mbuzi katorikiMazoezi ni 0.
Tunafukia kuliko uwezo wa mwili, ukiongeza na kitimoto, nyama choma, supu au kongoro jioni ukishushia bia ndo kabisaaa.
Dah muwe mna tu tagg basi kwenye vihoja kama hivi watu wa Dar mnajua kuchekesha mbavu zinauma.
Mimi nipo RwandaDah muwe mna tu tagg basi kwenye vihoja kama hivi watu wa Dar mnajua kuchekesha mbavu zinauma.