Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

Kwanini watu wengi wa Dar wana umbo la mviringo?

Hii ni Tanzania nzima, sio Dar tu.

Mtindo wa maisha ni wa kushindia nafaka kama wali, ugali na chapati.

Pirika pirika za utafutaji haziruhusu muda wa kufanya mazoezi. Pia hatuna utamaduni wa mazoezi.

Mwisho ni imani potofu kwamba unene ni "mwili wa kiutu uzima" na mwanamke mnene ni mrembo kwasababu ya makalio yake makubwa.

Ukifikisha umri wa makamo(35-50) bila kiriba tumbo una bahati.
Kweli mkuu, "utawasikia sasahivi umenawiri kweli mwenzetu"
 
Mleta mada hiyo picha ni mtu mzima au kijana mdogo? Nashindwa kulingnisha vitu!nashindwa kabisa kuelewa 🤔
 
Back
Top Bottom