Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,387
OoohMengine ni maneno tu na myths za watu.
OoohMengine ni maneno tu na myths za watu.
Sio maneno tu ni kweli hayo mambo yapoMengine ni maneno tu, myths na urban legends za watu.
Hautopata majibu sababu hakuna aliyewahi kufa kifo hicho humu akaeleza kwanini alijisaidiaNje ya mada. Kwanini baadhi ya watu dk za mwisho za kifo huwa wanajisaidia.
Naomba jibu la kitaalamu au la mantiki.
Story za vijiwe..Na kwanini mtu akikaribia kufa anaomba maji??
Au kama yupo na mtu atamtuma chochote akirudi kashakufa?
Baadhi wanaumwa sana/mnauguza eeeh,,siku mnamuona anaendelea vizuri anaefrahi,baada ya masaa anakata moto,hii inakuwaje?
Kifo kina Mambo Mengi sana mwingine kwasababu ya kiburi Cha uzima akikaribia kufa anawaomba msamaha wote aliowakwazaNa kwanini mtu akikaribia kufa anaomba maji??
Au kama yupo na mtu atamtuma chochote akirudi kashakufa?
Baadhi wanaumwa sana/mnauguza eeeh,,siku mnamuona anaendelea vizuri anaefrahi,baada ya masaa anakata moto,hii inakuwaje?
Binadamu ni viumbe wa kutengeneza story za mambo, zile story zenye mysteries au conspiracies ndani yake zinavutia, kusambaa na kudumu kwenye jamii kirahisi na ukubwa.Sio maneno tu ni kweli hayo mambo yapo
Wala sio za vijiweni.Story za vijiwe..
Kwamba usipoenda huyo mtu hafi?
Nimekupata mkuu lakini kwanini usiwe kutapika hadi iwe kutoa kutoa taka mwili.Kufa maana yake , ni ubongo na organ zote zina feli , hivyo mifumo yote inashindwa kuji control.
Uhakika wa hili ni elimu yenye ukakasi sana "recollection"Unarudi ulipotoka alafu unazaliwa tena kama hukukamilisha mission yako
Mgonjwa au mtu anayeishiwa nguvu ni rahisi zaidi kujisaidia kuliko kutapika.Nimekupata mkuu lakini kwanini usiwe kutapika hadi iwe kutoa kutoa taka mwili.
Akili yangu ndogo inaniambia ni sababu ya uoga husababisha tutoa haja kubwa/ndogo.
SawaKufa maana yake ni kujivua gamba(mwili) roho inaendelea na maisha bila kuchoka.
Roho ipo full timeKufa maana yake ni kujivua gamba(mwili) roho inaendelea na maisha bila kuchoka.
Kwenye moment ya kufa sijawahi kuona mtu akiogopa , wapo wanaotapika pia inategemea alikua akiumwa niniNimekupata mkuu lakini kwanini usiwe kutapika hadi iwe kutoa kutoa taka mwili.
Akili yangu ndogo inaniambia ni sababu ya uoga husababisha tutoa haja kubwa/ndogo.
Nimekuelewa mkuu unaongelea upendo wa dhati kwa watu wako wa karibu Lakini Asili haielewi kuzaliwa ni Asili na kufa ni Asili inatenda pia.Maandalizi yapı. Fikiria una mtoto miaka 5 Leo hii unakufa! Utakuwa umemuandalia nini? Hata ukinunua bond, mpaka afike 18, ili ajitegemee, atakuwa kachoka. Kuna vya kuandaa na kuna ambavyo haviandaliwi
Well said, tunaogopa sisi tulio hai ila mtu akiwa katika critical point kifo hakiogipeshi, Kuna watu wamekunywa sumu, wamejipiga risasi n.k hawaogopi kabisa...Kuna point ukifika "death is nothing"Kwenye moment ya kufa sijawahi kuona mtu akiogopa , wapo wanaotapika pia inategemea alikua akiumwa nini