Mi sijawahi kuona mtu anakisogelea kifo, wote huwa tunakikimbia kifo. Hapo jibu ni kinyume cha kukipenda yaani hofu.Kwenye moment ya kufa sijawahi kuona mtu akiogopa , wapo wanaotapika pia inategemea alikua akiumwa nini
Mi sijawahi kuona mtu anakisogelea kifo, wote huwa tunakikimbia kifo. Hapo jibu ni kinyume cha kukipenda yaani hofu.Kwenye moment ya kufa sijawahi kuona mtu akiogopa , wapo wanaotapika pia inategemea alikua akiumwa nini
It make senseMgonjwa au mtu anayeishiwa nguvu ni rahisi zaidi kujisaidia kuliko kutapika.
Ndugu Kuna critical point acha kabisa mtu anakivaa kifo kama kawaMi sijawahi kuona mtu anakisogelea kifo, wote huwa tunakikimbia kifo. Hapo jibu ni kinyume cha kukipenda yaani hofu.
Asili ni ujasiri mtu anajichoma kisu Cha tumbo ili afe.Well said, tunaogopa sisi tulio hai ila mtu akiwa katika critical point kifo hakiogipeshi, Kuna watu wamekunywa sumu, wamejipiga risasi n.k hawaogopi kabisa...Kuna point ukifika "death is nothing"
Ndugu zako wangapi walikufa ukifata maji?Wala sio za vijiweni.
terminal rally ipo na inajulikana , kuomba maji ipo kitabibu kabisa kwa baadhi ya watu , pia baadhi ya watu huwa wanajua wanakaribia kufa, hivyo huweza kuwaomba wapendwa wao ,wakalete kitu ili wa siwaone kwenye hiyo hali.Binadamu ni viumbe wa kutengeneza story za mambo, zile story zenye mysteries au conspiracies ndani yake zinavutia, kusambaa na kudumu kwenye jamii kirahisi na ukubwa.
Katika watu elfu moja wanaokufa Tanzania kila siku watakuwepo watakaotaka maji, watakaowatuma watu vitu na watakaochangamka muda mfupi kabla ya kifo, pia watakuwepo ambao hawatataka maji, hawatawatuma watu vitu na hawatachangamka kabla ya kifo. Kundi la pili halitengenezi story nzuri za kugusa hisia kama kundi la kwanza kwa hiyo hutazisikia story zao kama kundi la kwanza.
Tuishie hapa.🙌Ndugu zako wangapi walikufa ukifata maji?
Unakiogopa kwa sababu haupo kwenye hiyo moment ,nimebahatika kukaa na wanaokufa na ugonjwa, wengi wao wanatulia tu na kusubiri na hata ukiwauliza kama wanaogopa wanasema hapanaMi sijawahi kuona mtu anakisogelea kifo, wote huwa tunakikimbia kifo. Hapo jibu ni kinyume cha kukipenda yaani hofu.
Niliyaka majibu yako yawe kauli ya uthibitisho. Nje na hapo hiyo umeiokota vijiweniTuishie hapa.🙌
Sikatai mkuu hii ni kweli lakini hii tayari inakuwa katika hali ambayo si ya kawaida, huna option yoyote zaidi ya kukikabili.Ndugu Kuna critical point acha kabisa mtu anakivaa kifo kama kawa
Tuishie hapa.Ndugu zako wangapi walikufa ukifata maji?
Ndio maana nimeomba tuishie hapo,Niliyaka majibu yako yawe kauli ya uthibitisho. Nje na hapo hiyo umeiokota vijiweni
Hapa nakubali kabisaa. Ni sawa na tajiri kuuogopa umasikini ila masikini hauogopi umasikini maana tayari anauishi na haunsumbui.Unakiogopa kwa sababu haupo kwenye hiyo moment ,nimebahatika kukaa na wanaokufa na ugonjwa, wengi wao wanatulia tu na kusubiri na hata ukiwauliza kama wanaogopa wanasema hapana
Aisee hapo kuna kubwa la kujifunzaUnakiogopa kwa sababu haupo kwenye hiyo moment ,nimebahatika kukaa na wanaokufa na ugonjwa, wengi wao wanatulia tu na kusubiri na hata ukiwauliza kama wanaogopa wanasema hapana
Ipo kitabibu kabisa , hofu ipo ndani ya ubongo, na ni hisia zile ,kwenye moment ya kufa kila kitu kipo kwenye moment ya kufa ikiwa pamoja na hisia za hofu😅Hapa nakubali kabisaa. Ni sawa na tajiri kuuogopa umasikini ila masikini hauogopi umasikini maana tayari anauishi na haunsumbui.
Wapo sahihi maana wanajua ukweli kwamba walikuja Duniani kutembea Sasa wanarudi nyumbani ila wanaweza kurudi tena Duniani maana roho haifi.Unakiogopa kwa sababu haupo kwenye hiyo moment ,nimebahatika kukaa na wanaokufa na ugonjwa, wengi wao wanatulia tu na kusubiri na hata ukiwauliza kama wanaogopa wanasema hapana
Sawa mkuuWapo sahihi maana wanajua ukweli kwamba walikuja Duniani kutembea Sasa wanarudi nyumbani ila wanaweza kurudi tena Duniani maana roho haifi.
Upo sahihi mkuu Dunia ndo sehemu ya hovyo kuliko sehemu yoyote ulimwenguni.Kufa ni muhimu tena kuna hekima kubwa sana ,hapa duniani hapajawahi kuwa na haki wala usawa...Mtu kama ana nguvu anaweza kukufanya chochote kile ,so bado malipo yapo baada ya kufa.
Bonge moja la somo hili. Kumbe sasa kinachotusumbua ni hofu ya future lakini kiuhalisia kama tungeishi the moment hakuna cha kuogopesha si ndio?Ipo kitabibu kabisa , hofu ipo ndani ya ubongo, na ni hisia zile ,kwenye moment ya kufa kila kitu kipo kwenye moment ya kufa ikiwa pamoja na hisia za hofu😅
Mimi nimeshuhudia mtu akitapatapa akaitwa jamaa mtu mzima akashauri apewe maji baada hapo alikufa Sasa nilijiuliza huyo aliyeshauri apewe maji alikuwa anajua au hajui alichokifanya mpaka Leo sijapata jibu.Niliyaka majibu yako yawe kauli ya uthibitisho. Nje na hapo hiyo umeiokota vijiweni