They have a lot to looseKuna watu wanaogopa kufa kama vizee?
They have a lot to looseKuna watu wanaogopa kufa kama vizee?
Oooh hapo mbaya ila lile ka boom💥 nakutawanya kila kitu ni fasta tuBwashee bomu halina formula. Linaweza likafyeka miguu tu na ukabakia hai na kiwiliwili chako kwa siku kadhaa, halafu ukaondoka ukiwa kwenye hali ya maumivu makali.
Mdomo ulimi,kusengenya😁Sasa kama haufanyi dhambi ijumaa unaenda kutubu nini? ( Tawbah)
Kuzaliwa pia ni kiboko ya mwanadamu.Kifo ni kiboko ya mwanadam
Ova
Basiiiiiii , usituseme walevi🤗Mdomo ulimi,kusengenya😁
Mikono inaandika umbea😁😁
Miguu nayo🙌
Umeona eeeh😁Nilishawahi pata ajali , nilizimia , sikujua kilicho endelea, ningekufa hata nisingeju kama nilikufa au kuwepo tu😅
Yeah , hiko ni nusu kipimo cha kifo😅Umeona eeeh😁
Ukisukumwa huelewi kinachoendelea tena,unashtuka upo kitandani na mashuka meupe🙌
Sisiem mbona kama tayari wameshatuchukua msukule bwashee 🤣Kufa sio issue..kikubwa usichukuliwe msukule!
Babu yetu kafa mwezi uliopita alikuwa na 107,huyu mkitoka nje yupo ndani peke yake nae anataka mumbebe akae nje, akikaa ndani chumbani Sasa ataita ilimradi tu apate wa kupiga nae story.
Unashtuka upo kwenye friji,kadadeq😁Yeah , hiko ni nusu kipimo cha kifo😅
Maandalizi yapı. Fikiria una mtoto miaka 5 Leo hii unakufa! Utakuwa umemuandalia nini? Hata ukinunua bond, mpaka afike 18, ili ajitegemee, atakuwa kachoka. Kuna vya kuandaa na kuna ambavyo haviandaliwiMkuu, ndo maana nikasema maandalizi muhimu chochote kinaweza kutokea anytime
Kufa maana yake , ni ubongo na organ zote zina feli , hivyo mifumo yote inashindwa kuji control.Nje ya mada. Kwanini baadhi ya watu dk za mwisho za kifo huwa wanajisaidia.
Naomba jibu la kitaalamu au la mantiki.
Yoda hapana...Watu wanaogopa kufa kwa sababu hawajui wanapoelekea baada ya kifo, dini ndio zimezidisha uoga kwa kuwahakikishia watu kuna maisha baada ya kifo bila uthibitisho wowote ule.
Mengine ni maneno tu, myths na urban legends za watu.Na kwanini mtu akikaribia kufa anaomba maji??
Au kama yupo na mtu atamtuma chochote akirudi kashakufa?
Baadhi wanaumwa sana/mnauguza eeeh,,siku mnamuona anaendelea vizuri anaefrahi,baada ya masaa anakata moto,hii inakuwaje?