Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,879
- 147,378
Museme kabla haujafa,mzikwe na bia zenu mkanywe mnakoelekea.Mhm vizee tunaogopa kufa kuziacha bia, ndio maana tunakunywa ili ziishe
Museme kabla haujafa,mzikwe na bia zenu mkanywe mnakoelekea.Mhm vizee tunaogopa kufa kuziacha bia, ndio maana tunakunywa ili ziishe
Miaka 70 mbona Bado sana,tuliokaa na wazee wa 85+,Dah! hii nayo changamoto yaani Mzee wa miaka 70 anaogopa kufa haya ni maajabu.
Bia ni mbaya , ndio maana tunajitahidi kuzinywa ziishe , ili kizazi kijacho kisizikute.Museme kabla haujafa,mzikwe na bia zenu mkanywe mnakoelekea.
Kwa sababu wanaogopa kufa. Bata wahed!Acha uoga na ufungue akili yako.Kuzaliwa na kufa ni biashara ileile moja.
Watu wengi mnaishi kama watumwa wa uoga. Mnaogopa kuzikwa ardhini wakati mmesahau kuwa mmetoka kwenye giza nene kule tumboni kwa mama zenu.
Na Kifo ni kurudi huko huko ulipokuwa kabla ya kuzaliwa, maana hii ni hali moja.
Mimi siogopi kufa hata sekunde moja, kwa sababu najua kabisa sikuogopa wakati nazaliwa. Kuzaliwa na kufa ni jambo lilelile. Wale wanaopiga mayowe na kulia sana kwenye mazishi ni watu wasiojua hesabu rahisi za maisha.
Kifo ndicho kinachofanya maisha haya yawe na thamani, maana tunarudi kule kule tulipokuwa kabla ya kuzaliwa.
Mimi na wewe ni wasafiri tu hapa. Acha kulialia na kuleta uoga wa kijinga. Tunarudi kule tulikokuwa kabla hatujazaliwa.
Ulikuja hapa duniani huna hata nguo ya ndani, huna jina, huna hata mia mbovu mfukoni.
Hivyo basi hakuna haja ya kuogopa kufa ingali unajua hukuogopa kabla hujazaliwa...
Kifo ni kurudi kule kule. Kama hukulalamika ukiwa ndani ya tumbo unazaliwa, unalalamika nini unaporudi kufa?.
Wakati hali ni zile zile, kufa na kuzaliwa ni kitu kile kile...
Kwaiyo hakuna haja ya kuogopa utakufaje kufaje.
Wewe kazi yako ni kuishi, Kwani siku unazaliwa, ulijua utazaliwa vipi? Ulijua kama utazaliwa salama au kwa shida? Hukujua! Asili ilikutoa huko ulikokuwa na ikakuleta hapa duniani salama. Ikiwa asili iliweza kukuleta, ina uwezo wa kukurudisha bila kukuomba ushauri.
Acha kimbelembele cha kutaka kupangia asili namna ya kukutoa!
Unajifanya unawajali sana ndugu zako, lakini ukweli ni kwamba unaogopa nafsi yako! Kabla hujazaliwa, hao ndugu walikuwa wanakula na kulala vizuri tu. Na ukishasepa, wataendelea na maisha yao, watakula pilau kwenye msiba wako, na maisha yataendelea.
Wacha wasikuelewe, wacha waone unaweweseka, lakini wewe simamia ukweli mmoja Kuzaliwa na kufa ni biashara moja, Hakuna kuogopa.
Hizo bia Kila siku zinazaliwa mpya,hamuwezi kuzimaliza,Bia ni mbaya , ndio maana tunajitahidi kuzinywa ziishe , ili kizazi kijacho kisizikute.
Kizazi kijacho mtakunywa visunguraHizo bia Kila siku zinazaliwa mpya,hamuwezi kuzimaliza,
Waachieni na kizazi kijacho.
Kifo kinaogopesha mjomba! Pia kifo kinauma! Fikiria unakufa halafu hutawaona tena wapendwa wako. Fikiria hapo ulipo hujui utakufa kifo cha aina gani! Ni wachache ndiyo wamebahatika kufa kifo cha starehe mfano wakiwa usingizini, nk. Waliobakia ndiyo hawa wamekufa vifo vya mateso mfano kwa kuzama majini, kutekwa na kuuwawa kikatili na wasiojulikana, kufa kwa ajali ya moto, kulipuliwa na mabomu, kuchinjwa na magaidi, nk.Mkuu heshima yako inaonekana umekula chumvi nyingi inasemekana mtu mzima akikaribia kufa anajua Lakini kwanini uogope wakati unajua lazima urudi ulipotoka me nadhani inabidi kujiandaa maana hakikwepeki.
Daaah hii sumu.Kizazi kijacho mtakunywa visungura
hii ya kulipuliwa na bomu mbona kama tamu sana bwasheeKifo kinaogopesha mjomba! Pia kifo kinauma! Fikiria unakufa halafu hutawaona tena wapendwa wako. Fikiria hapo ulipo hujui utakufa kifo cha aina gani! Ni wachache ndiyo wamebahatika kufa kifo cha starehe mfano wakiwa usingizini, nk. Waliobakia ndiyo hawa wamekufa vifo vya mateso mfano kwa kuzama majini, kutekwa na kuuwawa kikatili na wasiojulikana, kufa kwa ajali ya moto, kulipuliwa na mabomu, kuchinjwa na magaidi, nk.
Ulishawahi onja bia?Daaah hii sumu.
Weeeeh😁hii ya kulipuliwa na bomu mbona kama tamu sana bwashee
Chap kwa harakaWeeeeh😁
Issue si kuogopa Kifo, tatizo kubwa ni madhara ya Kifo chako kwa utakaowaacha wakiwa bado wanakitegemea. Mateso yatakayo wapata ndiyo kizungu Mkuti.Acha uoga na ufungue akili yako.Kuzaliwa na kufa ni biashara ileile moja.
Watu wengi mnaishi kama watumwa wa uoga. Mnaogopa kuzikwa ardhini wakati mmesahau kuwa mmetoka kwenye giza nene kule tumboni kwa mama zenu.
Na Kifo ni kurudi huko huko ulipokuwa kabla ya kuzaliwa, maana hii ni hali moja.
Mimi siogopi kufa hata sekunde moja, kwa sababu najua kabisa sikuogopa wakati nazaliwa. Kuzaliwa na kufa ni jambo lilelile. Wale wanaopiga mayowe na kulia sana kwenye mazishi ni watu wasiojua hesabu rahisi za maisha.
Kifo ndicho kinachofanya maisha haya yawe na thamani, maana tunarudi kule kule tulipokuwa kabla ya kuzaliwa.
Mimi na wewe ni wasafiri tu hapa. Acha kulialia na kuleta uoga wa kijinga. Tunarudi kule tulikokuwa kabla hatujazaliwa.
Ulikuja hapa duniani huna hata nguo ya ndani, huna jina, huna hata mia mbovu mfukoni.
Hivyo basi hakuna haja ya kuogopa kufa ingali unajua hukuogopa kabla hujazaliwa...
Kifo ni kurudi kule kule. Kama hukulalamika ukiwa ndani ya tumbo unazaliwa, unalalamika nini unaporudi kufa?.
Wakati hali ni zile zile, kufa na kuzaliwa ni kitu kile kile...
Kwaiyo hakuna haja ya kuogopa utakufaje kufaje.
Wewe kazi yako ni kuishi, Kwani siku unazaliwa, ulijua utazaliwa vipi? Ulijua kama utazaliwa salama au kwa shida? Hukujua! Asili ilikutoa huko ulikokuwa na ikakuleta hapa duniani salama. Ikiwa asili iliweza kukuleta, ina uwezo wa kukurudisha bila kukuomba ushauri.
Acha kimbelembele cha kutaka kupangia asili namna ya kukutoa!
Unajifanya unawajali sana ndugu zako, lakini ukweli ni kwamba unaogopa nafsi yako! Kabla hujazaliwa, hao ndugu walikuwa wanakula na kulala vizuri tu. Na ukishasepa, wataendelea na maisha yao, watakula pilau kwenye msiba wako, na maisha yataendelea.
Wacha wasikuelewe, wacha waone unaweweseka, lakini wewe simamia ukweli mmoja Kuzaliwa na kufa ni biashara moja, Hakuna kuogopa.
Hapana,mie napenda mbege na huku kwetu togwa.Ulishawahi onja bia?
Hivi daah, imagine unatembea barabarani gari inakugonga puuuuuh,husikii chochote eehChap kwa haraka
Sasa kama haufanyi dhambi ijumaa unaenda kutubu nini? ( Tawbah)Hapana,mie napenda mbege na huku kwetu togwa.
Bwashee bomu halina formula. Linaweza likafyeka miguu tu na ukabakia hai na kiwiliwili chako kwa siku kadhaa, halafu ukaondoka ukiwa kwenye hali ya maumivu makali.hii ya kulipuliwa na bomu mbona kama tamu sana bwashee
Nilishawahi pata ajali , nilizimia , sikujua kilicho endelea, ningekufa hata nisingejua kama nilikufa au kuwepo tu😅Hivi daah, imagine unatembea barabarani gari inakugonga puuuuuh,husikii chochote eeh